USIKU WA KYDAWAH!!!!!

BRIDE       :: KYDAWAH
VENUE      :: KWALALUMPA HALL SINZA
COLUR     :: GREEN, YELLOW, BLACK & RED
 MAIDS WAKIINGIA NA BEGA MOJA, HAPANA CHZEYA, BI HARUSI AMENOGAJE? MAKE MWAOOOO!! UKO JUU BIBIE

KYDAWAH AKIINGIA UKUMBINI UMEMUONA ALIVYO NA FURAHA SHUGHULI YAKO BIBIE SHURTI UCHANGAMKE!!
KYADAWAH
HAIRSTYLE
 NLIMUULIZA KYADAWAH ANIPE JINA LA DESIGNER AKANIAMBIA HUYU HAPA EMBU MPIGIENI SIMU KAWEZA EEH!!, MAANA TUMEZOEA NGUO HIZI ZINASHONWA KWA MAJINA....!!!
ZAWADI
DECOR
CAKE & CHAMPAGNE
MWANAUME ANALISHWA KAMA MTOTO UMEONA EEH MAMBO YA SUFURIA NA KIKAPU HAYO!!!
 MTU NA SOMO YAKE HAPANA CHEZEYA!!!
 LATIFA AKIPATA KEKI YAKE
 SI UNAJUA BILA KAMATI HAYA YASINGEKUWA
CHAMPAGNE
BI ARUSI ALIONGOZA MWENYEWE KUFUNGUA CHAMPAGNE
 HUKU KILA MEZA IKIFUNGUA YA KWAO!!!
SOMOS WA UKWEE'E SALMA & NYOTA PAMBE NYIE!!!
KYDAWAH AKIKABIDHIWA ZAWADI ZAKE NA KUFUTWA JASHO
HAPANA CHEZEYA CLASSIC GROUP
WALIMFUTA JASHO KYDAWAH KIL MMOJA 300,000/= SASA PIGA MARA KUMI...!!!
SHOSTITO WA KYDAWAH NAYE NI MMOJA WA CLASSIC GROUP
NASIKIA HARUFU YA ANKARA
CLASSIC GROUP HAO...!! NIPE MASHARTI NAMI NIJIUNGE
NYOTA ABDALLAH, AKIENDA KUMTUNZA MWARI NA PAMBE YA SOMOS
FAGIO AINA ZOTE
AKAMWAMBIA BADO...!!!
KISHA AKAMKABIDHI KABATI LA VYOMBO PAMBE
JAMANI MAMBO HAYO MMEONA EEH!!
SALMA WA JOSE AKIWATUNZA MASOMO NA MWARI
USHOGA KAZI EEH!!, HAPANA CHEZEYA SALMA
KYDAWAH  AKIWAFUTA JASHO MASOMO WAKE
ONE M! EEEEH
KWA RAHA ZAKE......!!!
NYUSO
RED CARPET


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

10 comments:

 1. kwanini mnajichubua wadada jamini

  ReplyDelete
 2. sherehe bomba na wote walipendeza from face to toe.. big up

  ReplyDelete
 3. Yani hata mm inanitia kichefuchefu...Hivi kumbe wakinamama/wakinadada elimu juu ya Cancer bado haijatuingia ehe!???

  ReplyDelete
 4. Shughuli ilinoga bi harusi amejijulia mwili wake akachagua nguo inayoendana nae...that was a perfect choice Kidawa...hongera.

  ReplyDelete
 5. Ushamba mzigo!
  Mkono mmoja na sidiria nyeusi nje, haifai.
  Mkono mmoja hauvai sidiria, kama utavaa isiwe na mikono au mikono isiyo na rangi.

  ReplyDelete
 6. Salma umetisha shoga angu pendo

  ReplyDelete
 7. Beautiful mashaaAllah!tafadhali mwenye namba ya deigner wa nguo ya bi harusi naomba anipatie

  ReplyDelete
 8. Mme pendeza sana tena sanaa! si mchezo

  ReplyDelete
 9. Mme pendeza sana tena sanaa! si mchezo

  ReplyDelete
 10. yani bi harusi umependeza hadi basi, Hongera msalimie mumeo bwana Jafary.

  ReplyDelete