SINGO YA SAIDA (MDOGO WAKE ISHA MASHAUZI) @ MANGO GARDEN!!

BI HARUSI SAIDA AKIINGIZWA NA PAMBE YA MASOMO WA MUJINI, ALIFANYIWA SINGO NYUMBANI, UKUMBINI ILIKUWA NI ADA TU, UPO HAPO MDAU...!!!! ISHA AFANYA BALAA HAPO MANGO...!!!!

MASOMO WALIOMFUNDA SAIDA
JPO LA MASOMO NA MWARI WAO
MWARI KABLA HAJAFICHULIWA
SAIDA AKIFICHULIWA
ISHA AKIMFICHUA MDOGO WAKE SAIDA
SAIDA
PENDEZA EEH!!
MWARI NA SOMO MKUU
DECOR...!!
NDUNDU IKIINGIZWA NA MASOMO
BAADA YA MASOMO KUMUINGIZA UKUMBINI MWARI WAO, WAKAENDA INGIZA NDUNDU, WADAU NDUNDU NI VIFAA AMBAVYO VILITUMIKA KUMSINGA MWARI NI ADA TU!!! MAANA RAHA KUFUNDWA UPATE MASOMO WANAOJUA
WAKIISHUSHA CHINI TARATIBU HUKU WAKIIMBA, KIBAO KATA NDICHO KILIWAINGIZA
NDUNDU YENYEWE HIYO
ISHA AKIWATUNZA MASOMO
MMEONA EEH!!
MC's
SINGO ILIKUWA NA MC's WANNE, MC KIONGOZI NI MUUU!!
                                  MC JAMILLA                                                    MC KIATU
MC JOJO
CHAMPAGNE
BURUDANI
TULIKUWA NA KIBAO NA NGOMA YA WARUMBA
KINA BIBI WA NGOMA YA WARUMBA
HAPANA CHEZEYA BILAL MASH MASH TARATIBU NA MC KIATU
MPAKA CHINI
ISHA ALITUNZWA NA WAPENZI WAKE
ISHA AKIWA TAYARI KUFUTWA JASHO KWA SHUGHULI PAMBE ALIYOIFANYA YA MDOGO WAKE
 MAMA OBAMA AKITUNZA
 MC MUU AKIMFUTA JASHO ISHA MASHAUZI
 ISHA AKIWA NA WADOGO ZAKE MASHAUZI CLASSIC
 NYOTA ALIIMBA NA WARUMBA, WAKATI BILAL MASH MASH AKIENDA KUMFUTA JASHO NDUGU YAKE
 NYOTA AKIMPELEKA BILAL KWENDA KUMFUTA JASHO ISHA
 UDUGU HAZINA YETU!!!
 KIDAWA AKIMFUTA JASHO ISHA
 KWELI MAJANGA, SNURA NA SHOSTI WAKE WAKIMFUTA JASHO ISHA
ISHA ALIWAFUTA JASHO MASOMO...!! HAPANA CHEZEYA
CHAKULA
WADAU SINGO HII ILKUWA NI KESHA PALE PALE MANGO, SUPERSTAR ISHA MASHAUZI ALIANZA KWA KUTUPA SUPU YA KUKU YA UKWEE'E UNAMJUA CATERRER... NAMBA YAKE HII HAPA .........SUPU YA MOTOOOOO!!
BAADA YA SUPU, WAALIKWA WALIPEWA VITAFUNIO
NYUSO
SUPERSTAR ISHA MASHAUZI
ISHA & MC JAMILLA KITMTIM
DESIGNER BAHIYA LUMELEZI
SHANI SIMKOKO, MARIAM & SHOSTITO
HIDAYA, JUNAITHA PEMBA, BILAL & KAJALA
RAYA, GEORGE, JUNAITHA & SHOSTITO
KESSY FAMILY, NDUGU WAPENDANAO
MC JAMILLA AKIWA NA WADOGO ZAKE WA BUGURUNI
ISHA AKIWA NA KATTE, MAMA WA VIMTO VILE VINAVYOWEKWA KWEYE SINGO
KATTE & BAHIYA

MAMA YA DUBAI MUZNE & SHUMU GESSANI
TOTO ZA MIGOMIGO
PENDEZA EEH!! MARIAM
WAKALI WA SHISHA
ISHA NA SAIDA
SIZA WA SEGERE NA SOMO SAIDA
 BILAL, NYOTA & KIDAWA
REHEMA, LULU & AMINA
SOPHIA, MC MUU & SHOSTITO
 RED CARPET
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

11 comments:

 1. mapouda kama kawa

  ReplyDelete
 2. waooooohhhhhhhh shughuli ni watu na watu ndo kama hao wanawakawaka wanameremeta kichizi eeeeeh kweli bongo tambarare make up za kumwaga kwa raha zenu

  ReplyDelete
 3. da hellen nini maana ya shisha. ndio leo naona ni nini hii?

  ReplyDelete
 4. TOO MUCH COLOUR

  ReplyDelete
 5. Shuguli ilikuwa pambe, wajameni tumeona wengine makeup zimetulia, na wengine utafikiri wamepaka rangi za DULUX

  ReplyDelete
 6. Shuhuli nzuri ila isha mdogo wako make up kwenye shuhuli zinazofata asipambwe tena uswahilini yani anaonekana mzuri ila hizo make up hapana.shoga ako cool fee hatujamuona

  ReplyDelete
 7. jamani make up ni tatizo kubwa hapa dar na tanzania kwa ujumla. shuhuli inaonekana ilikua bab kubwa, hongera sana Isha ila make up zimewaangusha!!!!!!! mbona sijamuona Dida? napenda sana urafiki wao ( dida na isha - super woman)

  ReplyDelete
 8. Hongera Isha mmependeza sana shughuli nzuri kweli make up watanzania bado helen mbona wewe unajipamba simple na unaonekana poa lakini wanajaza saana mapooda na shadow sijapenda kwa kweli na masomo mbona wengi saana ninavyojua somo ni mmoja ila akiwa na wari wake ambao amewafunda ndio inabidi waje wamsaidie somo wao ila naona nyota kila mwari anaenda na masomo kibao wa kazi gani atafute wari wake wamsaidie aachane na mambo ya kuwaweka watu kibao wa kazi gani hata naomuona dada mmoja nae kawa shbiki kila anapokwenda nyota hujipenyeza hata hafanani nao huyo dada wa migomigo nilishaishia nao mburahati

  ReplyDelete
 9. Wauuh helen you look cute my dear jamani nilkua sijakupata dada bahiya i lkie that lady jamani keep it up kwa kweli hata mimi nacomment kuhusu masomo masomo jamani mnakuwa wengi what for'''''' mdogo wangu Mariam nguo yako nzuri saana ila make this time umezidisha sio kawaida yako wewe una baby face jaribu kupunguza kidogo sijamuona Dada letu jamani kubwa la maadui wapi jamani mic u mamiy

  ReplyDelete
 10. HAHAH HELEN HATA MIMI NACOMMENT MASOMO KUNA MASOMO SIKU HIZI WENYEWE WALIKUWA KINA ANTY JOKHA SIMBA DADA SHERY AKA SHARIFA, KINA IDAY MAASPRO DADA SALAMA NA MAREHEMU DONA SAMA MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI DA REHEMA MCHAFU NA DA TANT WA MAMA YA MJINI HAO NDIO WALIKUWA MASOMO ENZI HIZO ZA MWALIMU WALITIKISA SIKU HIZI HAKUNA MASOMO JAMANI JUST FASHIONMRADI BASI

  ReplyDelete
 11. Hiyo sehemu ya kupigia picha hahahahahahhhh mbavu zangu mie

  ReplyDelete