SINGO YA THAURAT!!!!!

MWARI AKIINGIZWA UKUMBINI
BI ARUSI AKIINGIZWA UKUMBINI NA VITU ALIVYOFANYIWA SINGO KAMA ADA, WADAU SHUGHULI YA UKWEE'E, NI YULE YULE SALMA MNTAMBO A.K.A INJINI YA JIJI KAFANYA BALAAA, WATU WANYWA NA KULA MPAKA KWAKUCHA, MABEER USISEME KAMA WEWE HUKUALIKWA BASI SI WAMJINI MAANA WA MJINI WOTE WALIKUWEPO, WATU WALIPENDEZAJE, SARE IMENOGA ILE MBAYA...!! SI KITCHEN PARTY NI SINGO YA SOMO TUUUUU!!!

UMEONA MWENDO EEH!!! HUO NI MDUNDO WA KIBAO KATA, KAMA HUJACHEZWA HUYAWEZI MWENZANGU, WATOTO WA SALMA MNTAMBO HAO, WAKIONGOZWA NA DADA YAO MARIAM MNTAMBO SI MNAMJUA YULE SOMO....!!!
HII NI KUOKOTA MIZUNGU, MPAKA UCHEZWE NDIO UTAJUA NINI MAANA YAKE...!!!
MC KIDE
NDIO ALIOONGOZA SHUGHULI HII, "CHEZA HANGINE HANGU HAGUMU"
THAURAT
 BI ARUSI MTARAJIWA TUTAMUONA KWENYE KITCHEN PARTY
 MWARI NA MASOMO 
ZAWADI & DECOR......!!!
ZAWADI YA SOMO BEDROOM SET YA UKWEE'E

SOMO WA UKWEE'E SALMA MNTAMBO AKIMTUNZA MWARI WAKE THAURAT
SALMA MNTAMBO AKIINGIA NA ZAWADI ZAKE
WAX ORIGINALLY
UMEONA EEH!!! MSIJE KUSEMA NDANI HAKUNA KITU!!!
DA JOHA AKIMSINDIKIZA DADA YAKE
SALMA MNTAMBO NA FAMILIA YAKE WAKITAMBA NA ZAWADI
MASANDUKU HAYOOO UMEONA EHHH
BAADA YA KUMPA MASANDUKU YA UKWEE'E AKAMWAMBIA BADO MWARI WANGU NINA BEDROOM SET YA UKWEE'E ILIYOKAMILIKA
ALIANZA KUMKABIDHI KABATI LA NGUO MILANGO SITA
SOMO AKIMKABIDHI MWARI KITANDA
AKAMKABIDHI DRESS TABLE
THAURAT AKILIA KWA FURAHA

SOMO SALMA MNTAMBO AKIFUTWA JASHO...!!!! SHUGHULI PEVU INABIDI...!!!
SAIDA KANYAU ALIANZA KUMFUTA JASHO SALMA MNTAMBO
 MIE NAJUA ANAVYOTAMBA......!!!!
 MAMA YA CHINA SAIDA HAPANA CHEZEYA
 SALMA MNTAMBO AKIIMBA HUKU ANATUNZWA NI RAHA TU
 MARIAM TWAHIR AKIMTUNZA SAIDA KANYAU
 BIG HUG WITH LOVE

MAMA WA BI. ARUSI MTARAJIWA MWANAIDI AKIMTUNZA SOMO WA MWANAYE
PESA UENDA KWENYE PESA EEH!!!
BURUDANI
 KIBAO KATA
 TAARABU LIVE BAND
 SALMA MNTAMBO AKIGUSWA TU ANATUNZA
 RAHA YA TAARABU KUTUNZA, MARIAM TWAHIR ANALIJUA HILO
 KIDOLE NA MACHO
 MARIAM K. UNAJISHEBEDUA EEEEH!!!
 INJINI YA JIJI AKIRUSHA ROHO.....!!! WITH CONFIDENCE
 
NYUSO
FAIZA, TANISA, RAHMA & BI ARUSI KHATIJA
ZAKIA, SAADA, MARIAM & SHARIFFA KAVU
NANA, SAIDA, MARIAM & FRIEND
MARIAM K, SALHA, MARIAM, KHADIJA & MC KIDE
KIBAO KATA KIKIWA KWA SALMA MNTAMBO KINANOGA SANA KWA SBB VIUNO VIPO WALA HAMAD HAPATI TAABU YA KUITA WACHEZAJI
SHARIFFA KAVU NA MWARI WAKE KHADIJA, WANAPENDANA HAWA....
MASOMO
BAHI, KHATIJA & KHADIJA
MAYA & HASINA KAWAWA, KHA!!! DA HASINA MADINI UNATISHAJE!!!!
MAYA & KAMPANI
BILAL MASH-MASH, KAJALA & MARIAM
MARIAM, JACKLINE WOLPER & SHILOLE
RAHA EEEH!! SAIDA NA MABINTI ZAKE
NYUSO ZIMEPENDEZAJE....!!! HAKUNA KABISA JOHNSON POWDER
KANEKA, KHATIJA THAURAT & FRIEND
REHEMA & ODO.....!!!
TANISA, FAIZA & "BIG DADDY"
MWANAIDI, KHATIJA & ODO
MAMA NA WANA
REHEMA MNTAMBO & MASHOSTITO
SAADA, FAIZA, DAUDI KANYAU & SAIDA
MARIAM MKWECHE & ARAFA TAMBA
HUSNA MADOHORA WA UKWEE'E WAPI SHANI SIMKOKO!!!
TINDWA & BAHI KUBA
MEZA ZIMEPENDEZA ILE MBAYA UMEONA MICHUPA EEH, NASIKIA WALISHINDWA WENYEWE WAKAKIMBIA HAPANA CHEZEYA SALMA MNTAMBO MTOTO WA KARIAKOO
MRS. OCBISA ORIGINALLY WAKUACHE MIAKA 800
LATIFA & MARIAM
WATU WA MUJINI WALIFURIKA KAMA UKUALIKWA BASI WEWE SI MJINI, 
 JOHA SIMBA, HASINA KAWAWA & FRIEND
 ILIKUWA FUJOOO!!
 INJINI YA JIJI SALMA MNTAMBO NA MARIAM TWAHIR MAMA WA MADIKODIKO
MWANAIDI - MAMA MZAA CHEMA!!!
HAPANA CHEZEYA AMINA MNAZINI UKOO JUUU!!!
SAIDA, SHARRIFA OSMAN & HAPPY BAGHDELLA
MWANAISHA MASSANGA & FRIEND
SHARRIFA HASHIM & HIDAYA MCHOWELA
RED CARPET
SALHA
HALIMA KAMUSI
MC KIDE WA UKWEEEE'E
MARIAM MNTAMBO
SAIDA & SALMA MNTAMBO A.K.A INJINI YA JIJI
MARIAM & AISHA
MARIAM & LATIFA
NANA & HER SWEET MAMA SAIDA
MWARI NA SOMO
BAHI & KHADIJA
MARIAM TWAHIR & HASINA KAWAWA
JOHA SIMBA & SAIDA KANYAU
SALMA MNTAMBO NA MABINTI ZAKE.....LOL
SAIDA, FAIZA & NANA (KANYAU's FAMILY)
MWARI NA MASOMO WAKE
REHEMA MJATA & MASHOSTITOS
ZAKIA, MARIAM & SHARIFA KAVU
MARIAM K, SALHA, MARIAM, KHADIJA
SWAGA

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

10 comments:

 1. imependeza sana

  ReplyDelete
 2. Hii shughuli si mchezo, duu kweli huyu Mama ni INJINI ya jiji. Watu walipendeza haswaa

  ReplyDelete
 3. kwi kwi kwi eti km hujaalikwa sio wa mjini makuuuubwa.

  ReplyDelete
 4. Hiyo haina mjadala yani mana watu wote mujini nafkri picha tu zinajionyesha. Nangoja picha za kitchen za kitchen party nikiwa kama mdau wa blog yako.

  ReplyDelete
 5. jamani watu wanajifanya fahari utakuta wanamadeni kibao, achenyeni mashauzi, kama kweli saidieni watoto YATIMA, WAGONJWA NA WAJANE

  ReplyDelete
 6. zamani haya mambo ya mizungu yalikuwa ni siri shurti unatamani uchezwe ili na wewe ujue hiyo mizungu leo kila kitu hadharani,kama tunanadi hivi hata maana si zinatolewa hovyo.chonde chonde manyakanga sidhani kama haya mambo yanatakiwa kuwa matangazo hii si biashara anaejua maana anatakiwa autafute mlango.

  ReplyDelete
 7. watu wamekolea acha kuleta comment zisizo na kichwa wala miguu manyakanga wamekosea nini waache mara 800

  ReplyDelete