SAUDA KITCHEN PARTY

BRIDE      ::SAUDA MOHAMED
VENUE     :: VATICAN KIWALANI
COLOUR  :: RED,GREEN, PURPLE & ORANGE
DESIGNER:: ABASI

SAUDA AKIINGIA UKUMBINI KWA TASHTITI KIBAO, HAPANA CHEZEYA UKIPENDEZA TENA UNARINGAJE, HII SHUGHULI NI YA WADAU WANGU WA KIWALANI FULL SUPPORT KWA MASHUGHULI NAWAPENDA SANA, ILI SIKU IKIFIKA PATAKUWA HAPOTOSHI MAANA WATU WATATOKEA PANDE ZOTE ZA DAR

 MAKEUP IMETULIA EEH!!!
 SAUDA PENDEZA KWA SANA TUCAKE
 DECORATION
 ZAWADI
CHAMPAGNE & CAKE
SAUDA ALIKATA KEKI
AKAJILISHA KWANZA YEYE MWANAMKE KUONJA
KISHA AKAMLISHA MAMA YAKE MZAZI
KISHA AKAMLISHA DADA YAKE KIPENZI JASMIN
BIG HUG!!!
SAUDA AKIKABISHIWA ZAWADI ZAKE
KWA HESHIMA SAUDA ALIKWENDA KWA MAGOTI KUPOKEA ZAWADI
MAMA ALIMKABIDHI KITANDA
KISHA AKAMKABIDHI KABATI
MAMA AKITUNZWA KWA ZAWADI NZURI KWA BINTI YAKE
JAMANI SAUDA NI MWENYE HESHIMA SANA, DADA YAKE JUTIA AKIMKABIDHI ZAWADI YA COFFEE TABLE
HAPANA CHEZEYA DADA JASMIN, HUKO JUU NIMEPENDAJE SKART YAKO
 FUTA JASHO
JUTIA DADA YAKE BI ARUSI AKITNZWA
NYUSO
MAMA NA MWANA
SAUDA NA DADA YAKE

RED CARPET
PENDEZA SANA JASMINE

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

  1. hongera bibie ila sijapenda gauni lako

    ReplyDelete
  2. nimependa make up ya bi harusi

    ReplyDelete