RE-UNION CEREMONY OF ROSE & HIS BELOVED SON MOHAMED AFTER 16 YEARS!!

SOPHIA AKIWA NA WATOTO, WAKIMSUBIRI KAKA YAO MOHAMED. WADAU NI STORY NDEFU NA YENYE KUSIKITISHA, ROSE IS MY SISTER, NILIMBEBA MOHAMED ALIVYOKUWA MDOGO AKIWA NA MIAKA 4, BAADA YA HAPO ALIPOTEA MACHONI MWETU KWA MIAKA 16, LEO ANARUDI NI FURAHA ILIYOJE? SOCIAL NETWORK ILIMSAIDIA ROSE KUMPATA THE ONLY SON MOHAMED NI FACEBOOK!!! OMG SIWEZI KUONGEA SANA ANGALIA PICHA BILA SHAKA NA WEWE CHOZI LITAKUTOKA MDAU


WATOTO WOTE WALIVAA T-SHIRT ZIMEANDIKWA HOME SWEET HOME!!!
MWANAIDI, SHARRIFA, FELISTA, DEBORA, GUDILA & SOPHIA, FRIENDS OF ROSE!!!
SHARRIFA & BEAUTIFUL ANGEL SHOW THEIR LOVE TO MOHAMED
DADA ZAKE ROSE!!!
PENDO LA KWELI HALIJIFICHI

MY FRIEND DEBORA!!
JOHA KABOTOKA NAONA MZEE PENZI PENZINI HAPANA CHEZEYA!!!

BI ARUSI SHILLA KASITA, &ZAKIA MHAVILE, SHARIFFA 
BWA SHEMEJI TUPE CHANCE NA DADA KIDOGO BASI!!!


MY BI ARUSI SHILLA UMEPENDEZAJE WAONYESHE NDOA ILIVYO TAMU!!
MERRY & BEAUTIFUL ANGEL

SWEET BABY!!
KWA UFUPI AIRPORT SISI NDIO TULITAWALA
HUYOOOOOO ROSE WETU JAMANI!!! OMG!!!
MOHAMEDI NAYE AKATOKEZA
MTOTO WETU HUYOOO!! ANA SURA KAMA YA STAR FULANI!!!
KILA MTU AKAMPA MAUA ALIYOTAYARISHA KWA AJILI YAKEROSE ALILILA SANA KWA SABABU RAFIKI ZAKE AU WADODGO ZAKE SHARRIFA & MERRY NDIO ORGANIZER WA HAYA YOTE, ITS GOOD TO KNOW WAKO WATU KWA AJILI YAKO KWA LOLOTE LILE


ILIKUWA NI FURAHA TU
MWAJUMA NDUNU & JOHA KABOTOKA NA MWANAO

REHEMA, DEBORA & FRIENDS

MOHAMED AKAPEWA TISHIRT YAKE AWE SARE NA NDUGU ZAKE
NIMEPENDEZA EEH!! MIMI NAMWAMBIA SANA TU MWANANGU!!!


OOH ROSE YOUR HUBBY HUYOOOO!!!
HOW SWEET IS IT JAMANI....!!!
ROSE HUYO NI WAKO MIAKA 800
THIS MAN DESERVE YOU
ROSE, AIKE & SHILLA (MASHOSTITP WA UKWEE'E)

LIMOUSIN  LIKIMSUBIRI, MOHAMED YOUR PRINCE TODAY!!!

RED CARPET
MUM & SON
REHEMA & MOHAMED
MOI-MTANIKUBALI TUUUUU!! MWENDO MDUNDO!!
MOI & WADAU WANGU!! NAWAPENDAJE!!!
HAPANA CHEZEYA CHRITSABELLA UMEIVAJE NA HIYO NYWELE!!!
FELISTA & GUDILABAADA YA AIPORT, TUKAELEKEA NYUMBANI KWA ROSE!!! KWA AJILI YA CHAKULA CHA MCHANA
DUA!!!
DECOR


ANGEL MLAY MAMA YA CHINA!!!

KEKI YA KUMKARIBISHA MOHAMED NYUMBANI

MDAU PICHA HUWA ZAONGEA EEH!!
MC NI YULE YULE JAMILA KITMTIM, WANAKUKUBALI JAMILA
CATERRER NI FANINA CATERRE
SALADI
PILAU
WALI WA NAZI, MMH HAPANA CHEZEA
NDIZI NYAMA
VIAZI
KUKU
MCHUZI WA SAMAKI (KINGFISH)
BEEF ROAST & NJEGERE
MAMA HASINA KAWAWA AKIJISEVIA


SHARIFFA KAVU & JAMILA WATOTO YA MUJINI


HAWA NDIO UKISIKIA WA MUJINI!!! SIO WEWE UNAKOKAA HUJULIKANI HALAFU UNAJIITA WA MUJINI!!ROSE AKIMTAMBULISHA MOHAMED KWA MARAFIKI TULIOKUWA PAMOJA NAYE, ROSE ALIKUWA ANALIA, NILIMSIKIA MOHAMED AKIMWAMBIA MAMA DONT CRY!!!
SHARIFFA, MARIAM, SALAMA
DIVA DEVOTA, FAIDA & ROSE


HERRY, FAIDA & DORA SONGAMBELE
BILAL MASH MASH & JUNAITHA
SHILLA & DEVOTA (MATRONE WAKE KWENYE ARUSI)
KHADIJA


DIVA DEVOTA & HUBBY
BAADA YA WATU KUKATA MTI NA KUPANDA TUKALETEWA NYAMA CHOMA ILIKUWA NI KUNYWA NA KULA ROSE BIG RESPECT!!PILLER KARAMAGI & FRIENDS
ISHA MASHAUZI, BILAL & FRIEND
BIBI ZAKIA UKO JUUUUUU!!!

ROSE KUMBE WEWE NI RAISI WA KINONDONI UMETISHAJE!!!!


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

20 comments:

 1. Niwie radhi kama nitakuwa nakosea kuuliza maswali kadhaa yanayonitatanisha kuhusu maelezo mbalimbali katika baadhi ya post katika blog hii.
  Nimekuwa nikipitia mara kwa mara lakini mara kadhaa nashindwa kuelewa aidha maelezo ya kila picha. Nakushauri kuwa kama ni tukio limetokea basi waweza kutupa hata story kwa ufupi tu. Kwa mfano, tukio la hapa la huyu kijana Mohamed kulakiwa na ndugu zake, haieleweki alikumbwa na nini na hao waliompokea ni kina nani na ilikuwaje akawa hayupo na familia kwa 16 years mpaka kukutana FACEBOOK.
  Mfano waweza andika maelezo mafupi kama Familia ya Fulani imefanikiwa kumpata kijana wao kwa njia ya mitandao ya kijamii baada ya kutoroka/kuibiwa/kwenda kusoma etc, pichani ni kama ni dada, kaka, mama wanamlaki, lakini kuweka picha bila maelezo naamini baadhi yetu hatuelewi.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Asante kwa kuuliza swali ambao watu wengi tunajiuliza. Wadau fanyieni kazi twahitaji kufahamu ila mpaka machozi yamenitoka.

   Delete
 2. Very touching...

  ReplyDelete
 3. sijajua story kamili ya Rose na mwanae lakini nimesikia simanzi ila nimefurahi kumuona mama na mwana wamekutana tena after those years. mimi nampenda huyu dada sana tuu though kwa mara ya kwanza nilikutana nae face to face kwenye kitchen pat ya Shillah. nampenda sana na namuombea Kwa Allah awape maisha mazuri ya maelewano kati ya mama na mwana.....mtoto anauma jamani msisikie.

  ReplyDelete
 4. MDAU WA KWANZA POINT,NADHANI ITAFANYIWA KAZI.

  ReplyDelete
 5. Kweli dada hellen unaweka post bila maelezo ya kutosha unatuacha juu juu bila kuelewa nini kinaendelea.

  ReplyDelete
 6. A touching story indeed ila nawish nijue zaidi jaman what happend really mpaka wakakutana! Inchallah Mungu awape maelewano na maisha mema muddy na familia yake.

  ReplyDelete
 7. Dada Helen tunaomba ujibu maswali ya anonymous wa kwanza, hatujaelewa kabisa kuhusu upoteaji wa huyo kijana imetugusa lakini hatuelewi!! tafadhali tuna kiu ya kujua! au ni siri kilichotokea? Hawaa Kihago!

  ReplyDelete
 8. DA HELEN WEKA HISTORY KIDOGO WENGINE TUJIFUNZE, MAAMA DUNIA INA MAMBO MENGI

  ReplyDelete
 9. Nimeliaje sasa ???, ninakabinti ka miaka mitatu nilijikuta nakakumbatia na kulia mpaka kamegundua mama analia ilibidi kanisaidie kulia, Hii ishu nilialikwa na dada yangu mmoja hivi (Juliana) lakini sikujua ni sad story kiasi hiki, mbona hapo air poti ningelia mpaka wangejiuliza mwenye mtoto ni mimi au ni rose, kwakweli mimi kitu cha kumhuzunisha hata mtu mwingine huwa naumia sana , mungu awape maisha marefu R & M ,ila imefurahi pia kumuona Mariam Bongi ,(unamkumbuka baba shayo?)enzi za mombo Secondary, umechanaje but still cute, na ile shape yako sipati picha huo mgong!

  ReplyDelete
  Replies
  1. mwenzetu unaejua kisa cha mama na mwana kupoteana miaka 16 tuhabarishe wenzako tumebaki na kitendawili hatujui nini kilitokea mama na mwana wakapoteana

   Delete
 10. alipotea hadi akapanda ndege, ama kweli

  ReplyDelete
 11. Helen umetuwacha njia panda pls tupe maelezo japo kidogo kuhusu Rose na mwanawe Mohamed

  ReplyDelete
 12. Helen Picha bila story hatuwenzi jifunza kitu.kwani wengi tunajifunza humu

  ReplyDelete
 13. kama kilichotokea ni siri haikuwa na haja ya kupost picha mngetumiana picha wenyewe kw wassap or email au hii blog ni album tu maana tumehuzunika roho zinauma bure bora usingeweka. mungu amjaalie furaha maisha yake yaliyobaki huyu dada maana najua alikuwa anacheka tu lkn rohoni anamaumivu. amin

  ReplyDelete
 14. Ni kweli post zako nyingi azinaga maelezo ya kutosha huwa aileti maana kwasababu wengi tunapita kwenye hii blog atukujui wewe wala hao wa mjini tunaona mapicha picha tu lakini ukiwa unatupa na story husika unazidi kutuburudisha na kutufanya tuzidi kuludi humu zaidi..

  ReplyDelete
 15. Alafu uyo kijana mbona hana sura ya uchangamfu picha nyingi kakunja sura anashangaa tu watu wamejitaidi sana kuchangamka na kupendeza ila muhusika sasa kama ajapenda alichofanyiwa

  ReplyDelete
 16. kwani mkielezea story kwa ufupi na watu wajue kuna nn kimya kimya miaka 16 iliyopita iliyopita si ungeacha kupost basi kama huna maelezo ya kutosha

  ReplyDelete
 17. ungetupa basi hiyo story kwa ufupi kwa sababu tupo njia panda kwa sisi ambao hatupo karibu na hiyo familia hatuelewi chochote. plssssssssssssssssssssssssssssssss

  ReplyDelete
 18. Kwakuwa mmeamua kuliweka hapa, nafikiri lengo ilikuwa (m-share) kushirikia aua kuchangia hiyo furaha, ingekuwa ni bora jamani mkatoa kastori kidogo ili kila mtu aguswe na kujiona yu pamoja nanyi.

  Sorry if I will offend u.

  ReplyDelete