JOYCE KIRIA WA WANAWAKE LIVE AMTAFUTA MUMEWE!!!

MTANGAZAJI WA KIPINDI CHA TV WANWAK LIVE JOYCE KIRIA, NDANI YA KITUA CHA EATV AKIWA AMESHIKILIA WATOTO WAKE LINCORN & LINGATONE, WAKATI ALIPOZUMNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI NJE YA JENGO LA IDARA YA HABARI MAELEZO, ILIYOPO KATIKA MTAA WA SAMORA JIJINI DAE HUKU AKIPAZA SAUTI KUMUOMBA RAISI JAKAYA KIKWETE NA WATANZANIA KWA UJUMLA ILI KUSAIDIWA KUJUA ALIKO MUME WAKE, BW. HENRY KILEO, AMAYE INADAIWA KUWA AMESHIKILIWA NA JSHI LA POLICE.... Kusoma zaidi ingia http://issamichuzi.blogspot.com/

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

6 comments:

 1. hii ni taarifa ya jeshi la polisi nimekopi na kupaste:

  Inasikitisha kuona kwamba huyu mama Joyce Kiria anaingilia mambo ya kisheria na kutaka kupotosha jamii kwamba hajui mume wake yuko wapi pia nadhani analenga kuichochea jamii kwamba aliyetuhumiwa kutenda uhalifu akikamatwa familia yake iandamane, tendo ambalo pia ni kosa la jinai. Aidha anatakiwa kuheshimu haki za watoto na kuacha kuwatumia katika kinga ya kutetea watu wanaotenda uhalifu (Imetolewa na Advera Senso Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania)

  ReplyDelete
 2. Kweli kabisa Joyce anajua kuwa mumewe alikamatwa Alhamisi na akampelekea chakula siku hiyo but Ijumaa alipopeleka msosi akaambiwa kuwa mumewe hayupo tena pale kituoni kapelekwa Igunga kujibu mashitaka but yeye akanona afanye usanii kujifanya hajui mumewe yuko wapi na hapo kawadhalilisha watoto na ndugu zake. Pole yake but sheria lazima ichukue mkondo wake.

  ReplyDelete
 3. Freedom will come very soon. Malipo huwa hapahapa duniani.

  ReplyDelete
 4. maskini jamani yaani machozi yananitoka roho inaniuma joyce mungu yuko

  ReplyDelete
 5. pole sn JOYCE! WAPE POLE WATOTO WETU! MWENYENZI MUNGU AKUTANGULIE ILI MME WAKO AACHIWE MAMA! TUKO PAMOJA MAMA JOYCE

  ReplyDelete
 6. freedom iz coming sooooooooooooon

  ReplyDelete