MONEY PARTY-ABDULKARIM KISMAT!!!

ABDULKARIM A.K.A KIM AKITOLEWA NJE NA DADA YAKE...!!
 USIKU WA PESA WA ABDULKARIM, MAMBO YALE WADAU MWAKA JANA MONEY PARTY YA KAKA YAKE ABDULKARIM MOHAMED ILIFANYIKA PALE OSTERBAY, SHEREHE HII INAHUSU MATUNZANO TU!! KULA KUNYWA NA KUCHEZA, NISIONGEE SANA ZAMA NDANI UJIONEE.....!!!

 BWANA ARUSI MATARAJIWA ABDULKARIM A.K.A KIM
MDOGO WAKE KIM, AKIMSINDIKIZA KAKA YAKE
 MAMA MZAZI WA KIM, AKIKABIDHI ZAWADI ZA MWANAYE, AMBAZO ALIMUANDALIA SET YA CHUMBANI ..........!!!
 NILIMUONA KIM KAMA CHOZI LAMTOKA, MIE NILIFIKIRI NI WANAWAKE TU!!!
 MAMA NA MWANA
 ARAFA AKIMPA PONGEZI SHOSTITO WAKE WA UKWEE'E
 RAHMA AKIWA NA MASHOSTITO WAKE, HII GROUP WADAU...!!!
SHANGAZI AKIMPONGEZA MWANAYE
DECOR....!!!!!
TUNZA
 MABIBI NAO WALIMTUNZA KIM!!!
 RUKIA AKIENDA MTUNZA SHEMEJI YAKE KIM, SHURTI KWA TAJI LA PESA, HAPANA CHEZEYA!!!
 AUNTIES TOKA PANDE ZA OMAN WAKIPELEKA SANDUKU 
 WALITAMBA KWANZA....!!!
 DADAZ WAKIMTUNZA KAKA YAO KIM
 FATHIYA UKO JUUU!!
 MAMA MKWE, MAMA SANJU AKIENDA MTUNZA MKWEWE
 SHURTI KWA DOLLAR
HANIPHER & LAYLT WAKIMTUNZA SHEMEJI YAO
SAIDA KANYAU AKIMFUTA JASHO RAHMA KISMAT
SAIDA ALITUNZA NA NYIMBO HII "MAHASIDI"

HUU NI WAKATI WANGU,
 HII NI BAHATI YANGU 
SIMWACHI MPENZI WANGU
KUPENDWA NI DAMU YANGU
NARINGA NA SAWA YANGU
ALIYENIPA NI MUNGU........ alatambaje!!
ARAFA TAMBA AKIMFUTA JASHO SHOGA YAKE RAHMA!!!
RAHMA AKIFUTWA JASHO NA WIFI YAKE
RUKIA MKE WA MOHAMED AKIENDA MFUTA JASHO MAMA MKWE WAKE RAHMA!! WADAU MNAKUMBUKA ILE MONEY PARTY!!!
ALIPIGA GOTI MPAKA KWA MAMA MKWE, HESHIMA EEH INAPENDEZAJE
RUKIA AKIMTUNZA MAMA MKWE WAKE
RAHMA AKIWA NA MKWE WAKE RUKIA
WAALIKWA WAKIENDA MPENGEZA BWANA ARUSI
BAHASHA WALIZOPEWA WAALIKWA ZA USIKU WA PESA!!!
BURUDANI
 TULIKUWA NA KIKUNDI CHA KONGAMOYO LIVE BAND, KIKIONGOZWA NA MKURIGENZI WAKE IQBAR, BAADA YA ZIAR NDEFU YA TABORA HATIMAYE WALIWAHI KUTUPA RAHA!! WADAU WANAKODISHWA KWENYE SHUGHULI YOYOTE ILE
MAWASILIANO: +255 655 470 970 AU +255 774 470 970
 BI RUKIA RAMADHANI ALIKUWEPO KUTUPA RAHA YA SELELEA
NYUSO
MAY
ARAFA, BI ZARO & RAHMA KISMAT, MAMA WA BWANA ARUSI MTARAJIWA
MAMA MZAA CHEMA SANJU AKIWA NA NDUGU ZAKE
ESHE SURURU & JOHA KABOTOKA
HAPANA CHEZEYA BI ZARO, NIMEONA HINA
LAYLAT & FATUMA GESANI
ASILA DIRECTOR  WA ASILA BRIDE & SISTERS
MARIAM MKWECHE & ARAFA TAMBA
NANA & SAIDA
IQBAR MKURUGENZI WA KONGAMOYO AKIWA NA MKWEWE
RUKIA, FATHIYA & LAYLAT
 FAUZIA, SALHA & BAHIYA
JOHA & FRIEND
ESTA AKIWA NA MASHOSTITO
SAIDA NA MWANAYE KIPENZI TANISA
NURU & SABRINA
RAHMA KISMAT ALIBADILI SARE RANGI KWA RANGI
RED CARPET
SWAGA


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

6 comments:

 1. Duuh funika bovu.

  ReplyDelete
 2. Hongera sana mama mzaa bwana!!! funika bovu!!! makeup tulia sana mpaka raha!! waalikwa wote pendeza sana mimi sema keep it up Allah Ibarik Nikkah!

  ReplyDelete
 3. mashallah shughuli imependeza sana, watu wote wamependeza na makeup imetulia, sare imenoga rangi zote nzuri,hongera sana Inshaallah Allah awajaalie kila la kheri katika ndoa yao

  ReplyDelete
 4. very nyc and atractive! nawatakia maisha mema kati ndoa yao!

  ReplyDelete
 5. HAYO MACHENI NI HATAREEEEEEEE

  ReplyDelete