Sponsor

MAULID, LUNCH & BIRTHDAY PARTY FOR SAMIHA & NAIYAZAT!!!!

4:53:00 AM

 
TULIANZA NA MAULID KUWAOMBEA DUA WATOTO, NA LUNCH YA UKWEE'E
JIONI BIRTHDAY PARTY FOR SAMIHA & NAIYAZAT WAKAKATE KEKI ZAO, MAMBO NI KUBALANCE WAFANYA YA MUNGU NA YA DUNIA ZAMA NDANI........
LUNCH
MPISHI WIAM YEYE ANAKUPIKIA NA KUKULETEA NAMBA ZAKE ZA SIMU NI 
+2
BIRIANI
ROAST YA BIRIANI
NDIZI TAMU

SALADI
FRESH JUICE
MAMA YAKE NYUSO

AWADH, ZUNGU & MWINYIBABI
 
SABAHA & SHOSTITO
HIDAYA & FRIEND

MMH POZI 

HASINA
BAADA YA KUPATA CHAKULA CHA MCHANA, MARIAM MAMA YAO SAMIHA & NAIYAZAT ALIFUTWA JASHO NA MASHOSTI WAKE WA UKWEE'E
WIAM AKIMTUNZA MARIAM


NURU FAROOQ AKIMWAGA DOLLARS 
BIRTHDAY PARTY FOR SAMIHA & NAIYAZAT
KEKI YA SAMIHA YEYE NI MPENZI CARTOON!!!
KEKI YA NAIYAZAT CINDERELLA, YEYE MPANGO MZIMA NI UREMBO...!!! 
FIREWALKS!!!!
SAMIHA ANAFIKISHA MIAKA 2 & NAIYAZAT MIAKA 7
FAUZI & MARYAM WAKIKATA KEKI YA SAMIHA
HAPA MIE NAONA SAMIHA WA DAD, NAIYAZAT WA MAMA
NAIYAZAT AKIMLISHA MUM KEKI
MAMA NAYE AKIMPA MWANAYEZAWADI


NYUSO
FAUZI & MARYAM (MUM & DAD)
WIAM & NURU
MARIAM & FRIENDS
MARIAM & FRIENDS, NIMEONA SWAGG

HAPPIEST FAMILY, UMEKUBALI MANENO YANGU SAMIHA WA DAD & NAIYAZAT WA MAMA!!
MARYAM NA MUMEWE FAUZI PENDEZA EEH!!

SABAHA & MARIAM

MARIAM & NURU
SWAGGA


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.