KITCHEN PARTY YA SAIDA ABDALLAH (MDOGO WAKE ISHA MASHAUZI)!!!

BRIDE      ::SAIDA ABDALLAH
VENUE     :: MRC MIKOCHENI
COLOUR  :: GREEN, BLUE & CREAM
MC            :: MC. MUU, MC KIATU & MADOGORI
DESIGNER:: BAHIYA LUMELEZI +255 713 233 362
WAPAMBE WA BI HARUSI NDANI YA VAZI ASILIA LA KIKURYA, WAKISAFISHA NJIA YA SAIDA AINGIE 


 SAIDA NDANI YA VAZI ASILIA SOMO SAIDIZI WAKIINGIA UKUMBINI!! KUNA MDAU KAKOMENT KUHUSU SOMO SAIDIZI ANASHANGA

 MWARI NA SOMO

 ISHA ANANIAMBIA DESIGNER WAKE NI BAHIYA LUMELEZI, NAMUULIZA KWA HIYO VIMINI INAKUWAJE?
 AKATUPA SWAGGA ZAKE KIDOGO...!!
DECOR...

 CAKE

 ZAWADICHAMPAGNE

 SAIDA AKIMPA MAMA KIPANDE CHA KEKI
MAWIFI WAKIPOKEA KEKI YAO
 WAKILISHANA NA DADA MPENZI
KAMATI IKIPATA KEKI YAO!!
BI HARUSI NA SOMO WALIKAA CHINI KWENYE MKEKA KULA CHAKULA

BAADA YA KULA BI HARUSI SAIDA ALIBADILI NGUO

 MBURUZO BY 
 ENTERTAIMENTNYUSO
BI MDANGA & MARIAM


ISHA & SALMA KESSY
DESIGNER BAHIYA
NYOTA & SALMA KESSY

SIZA WA SEGERE

BURE
SHARIFA TAMBAZA & FRIEND


RED CARPET
ISHA NA BABY GAL WAKE
HAPANA CHEZEYA IPTY UMEONA POZI
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

12 comments:

 1. POST A COMMENT: ABSOLUTELY NO COMENT

  ReplyDelete
 2. watu wotye hawapendi smile face wamenuna sana

  ReplyDelete
 3. Napenda jamani kutoa pendekezo. Tunapoamua kufanya shughuli kwa kimila basi ziwe 100% kimila. kwa maana ya kivazi, chakula na mengioneyo. Tukichanganya inakua haipendezi. Maarusi na wapambe wake wamevaa kimila lakini chakula cha kizungu, kimeliwa na vijiko, hapa sasa mnatuchanganyaaaaa, inaonekana feki, haipenddezi kabisaa. Tukiamua kufanya hivi basi tuangalie na sehemu zoooote, kwa manaa ya mavazi, mapambo, vyakula na kadhalika. Kwenye shughuli ya mwisho bi arusi jamani mzuri mnooo lakini mmemnangaaa!!! mmemjaza 'eye shadow' jamani kama bendera ya Taifa??? kwanini marangi yoooooooote kwenye jicho moja jamaniiiiii. msichana mzuri mmemchafuachafua!!! Bado tunahitaji madarasa ya MAKE-UPS!!! HALI NI MBAYA.

  Hata hivyo9 hongereni sana bi arusi na wageni. Mungu akujaalie bi arusi ukaishi vizuri na mumeo kwa raha, shida, upendo na amani. Amin!!

  ReplyDelete
 4. Bi harusi poda zimezidi jamani.. mwanzo alivovaa kikacha alipendeza sana... jamani hizi poda zenu za uswahili.com punguzeni, jamani wanawake punguzeni kujichubua!

  ReplyDelete
 5. Hizo banner zitajuuuuuuuuuuuta,nakumbuka da hellen ulishawahi kuweka contact wapi wanafanya,sasa hawa wanaokurupuka balaa banner kama bango la tangazo la nywele kko Ddooh

  ReplyDelete
 6. Uwiiiiiii kwann wamempaka izo eyeshadow bi harusi jaman? Yaani kazuri kweli kangepata good makeup angependeza sanaaa.....na wengine nao uwiiiii me naona somo la makeup lingefundishwa kweny kipind kimoja cha runinga...dah

  ReplyDelete
 7. Mmm dunia inamambo sina la kuongez

  ReplyDelete
 8. Ni rainbow hiyo eye shadow hahahaha

  ReplyDelete
 9. Jamani mbona glambox au kwa huyo asila sio ghali?mnaweza kuafford bandugu uso ndio mpango mzimaaaaaaa

  ReplyDelete
 10. make up bado ni tatizo kubwa sana jamani.. bi harusi alipendeza sana na magauni yake.. mmenda kumwalibu na mipouda!! hasa kwa nguo ya pili aliyobadili.. bi harusi ana color nzuri bora hata angepaka vseline tu kuliko min'garo miliomuwekea.. mmeharibu picha kabisa..

  ReplyDelete
 11. Nimependa idea ya vazi la asili jinsi walivokula kwenye mkeka safi kabisa, nguo ya bi harusi ya pili pia ni nzuri mno huyu dada bahiya anaumiza watu vichwa jamaniii anadesign nguo kama ready made daaaah! Mpe hongera sana nafatilia sana kazi zake kwene blog yako ni anakipaji cha pekee

  ReplyDelete