Sponsor

KAULI YA KAJALA KUHUSU WEMA SEPETU, BAADA YA HABARI ZISIZO RASMI KUTAPAKAA KWENYE BLOGS!!

7:50:00 PM

Unajua mi nashangaa sana watu wanatoa wapi maneno wanayoandika, mimi sina tatizo na Wema, wala siwezi kuwa na tatizo naye, wema amekuwa msaada mkubwa kwangu, sa sijui nitagombana nini na wema, huo ni uzushi tuu jamani, muwe mnatuuliza kabla ya kuandika” Alisema kajala
Alipoulizwa kuhusu ukaribu wake mpya na wolper alisema
“Wolper nimekutana naye kwenye party ndo tukaamua kupiga picha, au siku hizi sitakiwi kupiga picha na mtu mwingine zaidi ya wema? Wolper ni rafiki yangu”

You Might Also Like

2 comments

  1. Ooopss thankx god niliumiaje na hizi habari nashukuru mungu kama uongo mungu awalinde

    ReplyDelete
  2. Fanyeni yenu waachen wambeya wazushi mungu atawaumbua nawapenda nyie wadada

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.