GROW AMBASSADORS UNVEILING EVENT!!

EVENT PLANNER:: VITU VYA KHADIJA
VENUE::NATIONAL MESEUM HALL
EVENT:: GROW AMBASSADORS UNVEILING EVENT
TAKWIMU zinaonyesha, tuko watu Billion Saba ulimwenguni hadi sasa. 
TAKWIMU hizo hizo zinaonyesha, kati ya hao, takribani watu Billion moja hulala na njaa kila siku hiyo ikiwa ni tafsiri ya takribani mtu MMOJA kati ya watu SABA.
USHAHIDI upo kwamba chakula kinachozalishwa kinatutosha kula hadi kusaza.

USHAHIDI upo masokoni na sehemu za kuuza chakula jinsi ambavyo chakula hasa mboga mboga na matunda vinavyotupwa baada ya kuharibika.

USHAHIDI upo kwenye mashimo ya taka tunapotupa mabaki ya chakula.
USHAHIDI upo mashambani kwa wakulima wadogo wadogo wanaoacha mazao kuharibikia shambani kwa kukosa soko.
USHAHIDI upo kwenye supermarkets chakula kinapotupwa kwa sababu kime-expire..
MAKADIRIO ni kuwa kufikia mwaka 2050 tutakuwa watu BIllion Tisa ulimwenguni.
USHIRIKIANO ni msingi sasa kuhakikisha tunawezesha mfumo wa chakula kuwa wa HAKI na USAWA. Hii ni kuanzia shambani hadi jikoni.
Tunawatambulisha kwenu MABALOZI wa kampeni ya GROW inayoendeshwa na Shirika la kimataifa la Oxfam kuwa ni Masoud Kipanya, Khadija Mwanamboka, Jacob 'JB' Stephen, Shyrose Bhanji, Shamim Mwasha, Halima Mdee na Dina Marios.
Tutazidi kuwaletea maendeleo ya kazi zao katika ukurasa huu.

MWANAHAMISI
WOMEN LAND RIGHTS-MASSAWE
JUSTIN MORGAN
DECOR...!!!
NYUSO
   
MABALOZI WA KIMATAIFA
 ANGELIINA KIDJO
DESMOND TUTU
BALOZI WA GROW CAMPAIGN WAKIPOKEA TUZO ZAO!
JB

 MASOUD KIPANYA
 SHAMIMU MWASHA
 DINA MARRIOS
 KHADIJA MWANAMBOKA, MWENYEKITI WA MAMBOLOZI
BALOZI KATIKA PICHA YA PAMOJA

 
MAKEUP YANGU IMEFANYWA NA ASILA BRIDE, PEPLIM KITENGE DRESS BY HK's COLLECTION
HAYA SHIME, MIMI NA WEWE TUUNGANE NA BALOZI HAWA KATIKA GROW KAMPENI!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

 1. kweli da helen watu mmekosa kazi namaanisha shughuli ya aina h mpk ufanyiwe make up je ukitembea ndani ya zulia tunajfunza nini ndani ya hi blog dada angu sikwa ubaya bali ni ushauri tu mzuri make sa zingine zipumzishwe zina sehemu zake na im sure unazijua na umenipata ni kwa heri tu ushauri hu

  ReplyDelete
  Replies
  1. kwani hicho ni kilio?mtu utoke tu bila makeup ukaonekana uso mzuri!!!!!sijakuelewa mdau hapo juu
   Ahlam London

   Delete
 2. Mmependeza da Hellen, bi haruc Shamimu mashallah katokelezea

  ReplyDelete
 3. duuu mshamba .com kujipamba mwanamke ata birthday wewe mwanamke urembo by wakali wa shshshsh

  ReplyDelete