AQDI YA FATMA & ABEDI @ CUTCH HALL


ZAMA NDANI UMUONE BI HARUSI FATMA ALIVYPENDEZA...!!

 ASHA TOM NA MWARI WAKE
FARIDA TOM & MASHOSTITO
 RED CARPET
 SOMO KAZI IMEKWISHA, TUSUBIRI NYINGINE MAANA MAMBO UNAYAWEZA
 HAPANA CHEZEYA DADA HALIMA, WA MUJINI UTAMJUA TU

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

12 comments:

 1. Yaani nimependa bi haruc alivyorembwa kwa kweli! Mana mapowder aliyopakwa ni mazuri! Mashughuli nielekeze alipo lembwa

  ReplyDelete
 2. nimepende make up ya bi haruc yn imempendeza sana,na wote wamenoga kwenye haruc.

  ReplyDelete
 3. mashaallah biharusi kapendeza haswa makeup imetulia hivi ndio tunataka wengine waige km hivi

  ReplyDelete
 4. lemba kafungwa wapi nami nina naolewa wiki mbili zijazo natamani nataka kufunga lemba

  ReplyDelete
 5. mashallah biharusi kapendeza na makeup imetulia sana, ila katika akdi malaika wanahudhuria sasa msiwaeke maharusi wetu maziwa nje, kichwani kafungwa lemba limependeza sana na nguo za akdi tujitahidi ziwe za stara. Mungu amjaalie kila la kheri inshallah katika ndoa yake

  ReplyDelete
 6. bi harusi pambeeeee

  ReplyDelete
 7. huwa unaandika bi harusi kapambwa wapi hii mbona hujatuambia.bi harusi kapendeza sana

  ReplyDelete
 8. kwan kapendeza sana

  ReplyDelete
 9. Its so good to see the love between the bride and groom...May Allah guide them Inshaallah.

  ReplyDelete
 10. mashalaaah,kila la kweri katika ndoa yenu

  ReplyDelete
 11. Be blessed umependeza!

  ReplyDelete
 12. Pendeza sana Masha allah Bi Harusi, Bi harusi una pozi la picha ile mbaya, umezitendea haki picha zako. Mungu awajaalie ndo iwe ya amani na furaha siku zote za maisha ya ndoa yenu. Aaammmyn.

  ReplyDelete