VENUE:: KURCH HALL
HANIPHER AKIMVISHA TAJI LA ASMIN NDUGU YAKE KABLA YA KUINGIA UKUMBINI, TUMEZOEA BI ARUSI MUME WAKE AKISHAMPA MKONO ANAMFUNUA, HUKU SIVYO INGIA NDANI UONE ZAIDI NI MAMBO YA MILA NA DESTURI...!!
SUREIYA AKIINGIA UKUMBINI, DADA ZAKE WAKIMSINDIKIZA
BI ARUSI SUREIYA AKIMSUBIRI MUME WAKE ABDUL-KARIM KUMPA MKONO
ABDUL-KARIM ALIVISHWA TAJI LA ASMIN & ROSES
HANIPEHR AKIMLISHA SHEMEJI YAKE!!!
RAHMA KISMAT AKIMLISHA MWANAYE...!!!
BAADA YA TAMADUNI KUMALIZIKA MLANGONI, ABDUL-KARIM AKIENDA KWA MKEWE!!!!
ABDUL-KARIM AKISOMA DUA KABLA YA KUKAA NA MKEWE
BI ARUSI SUREIYA, AKUFUNULIWA SABABU YA MILA ZAO, NAWAFAHAMISHENI WADAU WANGU MSIAZE KUNIRUSHIA COMMENTS, TUTAMUONA BI ARUSI KWENYE WEDDING RECEPTION YAO
QASWIDA
NYUSO
MAMA NA MWANA
HAWA & MUHAZA-SISTERS!!!!
MAMA NA WATOTO WAO
FAMILIA YA KISMAT DHALLA
RED CARPET
SWAGA
mashaa allah shughuli nzuri
ReplyDeletemasha'allah mwenyezimungu awadumishe katika ndoa yao, wamependeza sana maharusi mpaka waalikwa kweli hii Indan gala! pendeza sana!
ReplyDeletebi harusi is loaded toomuch
ReplyDeleteimependeza maishallah
ReplyDeletependeza sana maishallah
ReplyDeleteimependeza sana
ReplyDeletemashalaah..mbona hampost za reception?
ReplyDelete