MWAMVITA SOMO MSAIDIZI AKIMUINGIZA MWARI
MWARI HAKUFUNULIWA MPAKA ALIPOFICHULIWA UKO BIBIE, SINGO KAMA SINGO INAPASWA KUFANYIKA NYUMBANI, MWARI ANASINGWA NA NGOMA YA KIBAO KATA, NA WATU WENGINE NJE AU AUANI WANACHEZA NGOMA.....!! HAYO SI YANGU NIMEULIZA KWA MANYAKANGA.....!! NIMEPENDA SANA IKIFANYIKA INAVYOTAKIWA ZAMA NDANI KUONA SINGO YA FARHA
FARHA SAMBAMBA NA SOMO YAKE FADYA
SHUMU GESSAN UKO JUU MAMBO YA DOLLAR
BAHIYA AKITUZA
WAALLIKWA WAKITUZA KUMFICHUA MWARI
FARHA BI HARUSI MTARAJIWA
FARHA AKIWA NA SOMO YAKE FADYA
NGUO YA FARHA DESIGN BY BAHIYA LUMELEZI - +255 713 233 362
MWARI AKITUONYESHA KIUNO!!!
SANDUKU SASAMBUA
FADYA KAMA SOMO ALIMTAYARISHIA MWARI WAKE SANDUKU LIMEKAMILIKA, NA SANDUKU SIO ILIMRADI KUJAZ AMINGUO TU, LAZIMA KILA KITU KINAPATIKANA
EVENING DRESS ZA UKWEE'E HAPANA CHEZEYA FADYA
HANDBAG, UMEMUONA MK??
CASUAL WEAR
CHETEZO, UDI KWA AJILI YA KUJIFUKIZA
MASHUKA NA KHANGA
MWISHO KABISA SOMO ALIKABIDHI MSWALA NA MASAAFU, UMEONA NDIO MAANA NASEMA SANDUKU LAZIMA LIKAMILIKE
CHEZA
SHOSTITO TAHIYA RUSHA ROHO MAMA KWA SANA..!!
WATU WAKIRUSHA ROHO...!!!
NYUSO
MUZNE & FRIEND
FAIZA, TANISA & WAHIDA
FAIZA KANYAU & FARHA
MWAVITA & ZUHURA
FAIZA & TANISA ( MAMA NA MWANA)
MAUNDA PENDEZA SANA
SOPHIA CUTE EEH!!
AMINA AMOUR!!
WAHIDA
FADYA & SHUMU GESSAN
RAYA & HASINA
FATMA GESSAN
SOMO NA MWARI
TWAIBA
BAHIYA NA MUKE YA ATHUMAN
SHUMU, DALILAH & BAHIYA
SALMA MAHNSEN & AL ANISA
TANISA & SHOSTITOS
TANISA, FARHA & FADYA (SISTERS)
MARIAM WHITE, MWAVITA & SHOSTI
TANISA & TAHIYA
TATU LUMELEZI, BI MDANGA & HAWENA
LUMELEZI FAMILY
MARIAM BEST, HAWENA
jamaniii jamaniii,tafuteni make-up;,zinazoandana na sura zenuu?lol..mnatutia aibu ,sura zenu ziko kama zimemwagiwa ungaa? anyway bi haruc kapendezaa..na mwenyewe mzuri mashallah
ReplyDeleteyaani ni hatareeee watu wamependeza ila make up mh balaaa
DeleteJamani Kila mwenye kuamua na make up yake muacheni hashuo kuingiliana za nini????kwani umepakwa wewe?its a free country so they can paka watever they want..in a good way stay d f***k out of it!
ReplyDeleteSingo pambe
Somo pambe
Mwari pambe
Tanisa na faiza kanyau nimewapenda..zidini kupendana watoto wazuri