SANDALZ ORIGINAL ZA SHANGA ZINAPATIKANA KINONDONI MANYANYA, AINA TOFAUTI YA MAUA, MAWASILIANO PIGA
Kwa wale wanaotaka jumla pia vinapatikana, hata kama uko nje ya mkoa wa unaweza toa order ukachagua ua unalotaka piga simu no.: +255 655 426100/0758 266701
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
14
15
16
17
Ningependa kujua bei yake tafadhali.
ReplyDeleteJamani ni nzuri mno, mimi nataka kupewa bei ya jumla ili niwatembezee wateja wangu wa reja reja maofisini. Mtanifanyia kiasi gani?
ReplyDeleteJAMANI NI VIZURI,NAOMBA BEI YA JUMLA NA YA REJAREJA PIA
ReplyDeletebei ya jumla ni shilingi ngapi?
ReplyDeleteningependa ujua bei yake
ReplyDelete