KAMA KAWAIDA MZIGO MPYA UNAINGIA KILA BAADA SIKU 3 AU 4, BOFYA NDANI UJIONEE HANDBAGS NZURI QUALITY & UNIQUE, SISI NDIO WAKALI WA SIMPLE SHOES!!!
DUKA LIKO KINONDONI MANYANYA KARIBU NA CASABLANCA BAR, MADUKA YANAYOTAZAMA BARABARA, MAWASILIANO.: +255 758 266 701
MTEJA TOKA MKOANI AMETUMIWA MZIGO WAKE JANA KUPITIA GREENSTAR BUS
MATCH HAND & SIMPLE SHOES
HII INAPATIKANA KATIKA RANGI HIZO HAPO CHINI
WALLET
ZARA SHOES
wekeni bei basi wa mkoani tujue kabisa
ReplyDeleteDuuh,mi naomba kujua bei ya begi la brown zote mbili,pochi nyekundu ndogo,green.
ReplyDeleteweka bei jamani
ReplyDeleteni vizuri kujuwa bei ili kama unataka kuagiza unajipanga, so bei plsssssssss
ReplyDeleteSi mmewekewa no mpige jama,akili nzitoooooo!
ReplyDelete