NEW ARRIVAL @ CLASSIC STYLES BOUTIQUE!!!!


  HAYA WADAU NI DUKA JIPYA JIJINI DAR, LIPO KINONDONI KARIBU NA BAR YA CASABLANCA, MZIGO MPYA UMEINGIA NA HAPO UTAPATA FLAT SHOES ZILE ZA UKWEE'E ZINAZOKWENDA FASHION PAMOJA NA VITU VYINGINE VINGI, DUKA LINAFUNGULIWA JUMATATU-SATURDAY KUANZIA SAA 9:00am-08:00pm
MAWASILIANO:: +255 758 266 701
MIKOANI: HUDUMA YA KUTUMA MZIGO INAPATIKANA, UTALIPIA KWA TIGO PESA & MPESA NA UNATUMIWA


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

8 comments:

 1. NUMBER YA SIMU WANASEMA,HAWAUZI VIATU

  ReplyDelete
 2. mngekuwa mnatuwekea na bei kabis

  ReplyDelete
 3. kweli na menimepiga hvyo hvyo, cjui awajui biashara nataka kuuliza simple sh. ngapi

  ReplyDelete
 4. tunaomba kujua bei ya vitu na kama wanahuduma ya watu wa mikoani plz....

  ReplyDelete
 5. jamani ma shughuli tunahitaji via2 tuko mkoani tunataka kujua bei zake

  ReplyDelete
 6. Shost 35 yako tu, me nimepiga imepokelewa

  ReplyDelete
 7. Jamani viatu vizuri mikoani tunapataje

  ReplyDelete
 8. NAOMBA KUJUA kama kuna No 36 plz na namba mliyotupa hawatoi ushirikiano na tupo mikoani plz tusaidie kujua tutapataje hata kwa njia ya posta its ok

  ReplyDelete