DARE TO DREAM WOMEN BUSINESS EXPO & CONFERENCE-BUILDING BUSINESS BEYOND TOMORROW!


MKUREGENZI WA BANG MAGAZINE EMELDA MWAMANGA AKIWAKARIBISHA WASHIRIKI KATIKA SEMINA, WANAWAKE WAJASIRIAMALI HIZI NI FURSA CHACHE SANA KUTOKEA,NA HAKIKA UKISHIRIKI HAPA UTAONANA NA WALIOBOBEA KWENYE BIASHARA NA UTAPATA DONDOO ZAIDI ZA KUIMARISHA BIASHARA YAKO, PIA UTAPATA UTHUBUTU KWA WEWE AMBAE UNA SITASITA KUANZA BIASHARA KWA KUHOFIA HUTOFANIKIWA, ZAMA NDANI KUONA ZAIDI


MODERATOR ANGELA BONDO!!

SPEAKERS KATIKA SEMINA WALITUPA MBINU MBALIMBALI ZA KUJENGA BIASHARA YAKO IDUME LEO NA KESHO, HATA KAMA WEWE HAUKO DUNIANI BIASHARA INAZIDI KUENDELEA
LIZ WACHUKA-MANAGEMENT CONSULTANT, INNER SPACE AFRICA
AMB (RTD) MWANAIDI SINARE MAAJAR-PARTNER REX ATTORNEY

ROSE H. AZIZ-CEO PRODUCTS NATURE
SALUM AWADH-CONSULTANT
REHMAH KASULE (FOUNDER CEO) TOKA UGANDA

NINON MARAPACHI (BANK OF AMERICA), HUYU NI MTANZANIA WADAU!!
WASHIRIKI WA SEMINA

MAMA MZAZI WA EMELDA (ALIYEVAA BATIK)EMELDA MWAMANGA MUANDAJII WA SEMINA 
L:MKURIGENZI WA SKIN SOLUTIONS - EDNA


BALOZI MWN
 
 HELLEN - MASHUGHULI BLOG THANK YOU ELLYGYVER LA TREND BLOG! 
RITHA - DIRECTOR OF UMOJA WATER WITH ELLYGIVER BLOGGER

GOING NATURAL!!! I LOVE THIS...!!

VIKAPU TOKA MTWARA, HAO WOTE NI KINA MAMA!!
 UMOJA WATER!!
ENJOY THE NATURAL TASTE!!!
 KINARA MOBILE STUDIO

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

 1. MMEPENDEZAJE VIKAPU VIZUR MHHH WANAWAKE TUNAWEZA MASHUGHULI PICHA YAKO NZURI ILA UNAUSHUSHA MDOMO .UKIINGALIA PICHA NA ZA WENGINE UTAPATA JINSI GANI UWELE TABASAMU LAKO
  LOVE ALL

  ReplyDelete
 2. tahiya shantalleMay 14, 2013 at 5:33 AM

  Pendeza bff wakina mama tunaweza hongera kwa kazi nzuri sana wanawake namaendele

  ReplyDelete
 3. Naomba mtujulishe hizi semina next time itakua lini....na kama kuna kiingilio pia mtuambie mapema...nasi tuweze kufika

  ReplyDelete
 4. Was very nice learned a lot well done Emelda!

  ReplyDelete