BRIDE :: ARAFA
GROOM :: DANGA AHMED NUNDU
VENUE :: MARKHAM MAYFAIR HALL
COLOUR :: LIGHT BLUE & YELLOW
ENTERTAINMENT:: LIVE MUSIC BAND
MALAIKA
WADAU ZILE PICHA ZA ARUSI YA DANGA NA MKEWE KIPENZI ARAFA HIZI HAPA, WATU WAMEPENDEZA KWA SANA. MAARUSI NA WAPAMBE WAO FUNIKA SANA, NISIONGEE SANA BORA UONE MWENYEWE, DUMBUKIA NDANI KUONA ZAIDI
ARAFA & DANGA
DECOR......
CAKE & CHAMPGNIE
KEKI ILIKATWA KWA PAMOJA
ARAFA & DANGA WAKILISHANA KEKI
BEAUTIFUL, NILIPENDA SANA MAKEUP ZAO!!!
ARAFA AKIMLISHA KEKI ESHE KAMA ASANTE YAKE
DANGA AKIMLISHE BEST MAN WAKE NICKO KAMA ASANTE
DANGA NA MKEWE ARAFA PAMOJA NA WAPAMBE WAO NICKO & MKEWE ESHE NDIO WALIFUNGUA CHAMPGNIE
WOOOOH CHAMPGNIE ZOTE ZILIFUNGUKA KWA PAMOJA
DANGA NA MKEWE ARAFA WALIJUMUIKA NA WAALIKWA KUGONGANISHA GLASS
BURUDANI
LIVE BAND
SPECIAL KWAITO YA ARAFA & DANGA
KWAITO LAZIMA MGONGO UINAME KIDOGO
ARAFA NA DANGA WAKIDUARIKA
NYUSO
RED CARPET
SWAGA
NEXT BRIDE
mashallah haruc nzuri na mungu awaepusha na jicho la husda..ila dada mashughuli mbona picha za maharuc huweki za kutosha..
ReplyDeleteLukn gud
ReplyDeletepicha za maharuc unaweka chache ongeza
ReplyDelete