Sponsor

TRUDY'S INTIMATE APPAREL

12:11:00 AM


BRA/SIDIRIA:: LONG LIVE YOUR BRA!!
Unatakiwa ufanyeje: Bra Washing

Bras should be washed kila baada unapoitumia maana mafuta au lotions na perfume ulizojipaka mwilini ukichanganya na jasho na deodorant yako zinaweza weka doa kwenye sidiria yako/bra [Natumaini ushamwona shoga/shoti ako moja bra yake ilivobadilika rangi] vyote hivi pia huweza punguza nguvu ya elastic iliyopo kwenye straps za bra zako.So shosti, kufua kila mara muhimu maana itaepusha uharibifu huu. Pia when washing, ni muhimu kufuata instructions za manufacturers na kama bra yako aina basi fuatilia hii TRUDY'S BLOGSPOT

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.