ONJA:: SHILA & MBARAKA RECEPTION WEDDING!!!

 NJENJE BAND LIVE
NYOTA AKIAMSISHA KIJOTI JOTI SHTUA!!!
 RECEPTION ILIKUWA BOMBA ILE MBAYA KONA ZOTE ZILIJITOSHELEZA, WATU WALICHEZA KULA NA KUNYWA, CATTERER WA UKWEE'E NA MKONGWE KWENYE TASNIA YA UPISHI, PIA BY PROFFESIONAL NI HOTELIAN, CHAKULA KILIKUWA MWAAAH!! ZAMA NDANI UONE NYUSO ZA MASTAA WA JIJI KWENYE KONA YA BIASHARA!!!!


 SHILA AKICHEZA NA MAMA YAKE KWA FURAHA!!
NYUSO ZA MUJINI...!!!
 FATUMA KIMARIO & FRIEND
 SHILA & HUBBY AKIWA NA MISHY NA MARAFIKI
 NYOTA & SALMA, WALINOGAJE, RANGI BLACK & WHITE
 BUSINESS WOMEN, ROSE, JESSICA & FRIEND
 MAMA KIBUNJU & DIVA DEVOTA
 MISHY, CHICHI & FRIEND
 AMINA PLUMMER THE OWNER OF AMINA DESIGN SHOP & FRIEND

 HAPPY. SHARRIFA & MUKE YA NDAMA (MUTOTO YA NGOMBE), "SASA WANAAZA KULIA EEH NUHU UTUFUNGULIE SAFINA" SI MNAKUMBUKA ILE NYIMBO
 BILAL & GEORGE
 ANGEL MLAY BUSINESS WOMAN MKONGWE & FRIENDS
LATIFAH, MERRY BUSINESS WOMAN & FRIEND

TULIA TULI MAMBO YALIKUWA SI KAWAIDA NI NADRA SANA KUTOKEA, SHILLA NA MUMEWE WALIPENDEZA SAAAANA, NAKUANDALIA MAPICHA YA UKWEE'E

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment