Sponsor

KIJACHO:BARBEQUE PARTY YA SNULLA & TWAHIR @ KUNDUCHI

5:43:00 PM

SNULLA, BI ARUSI MTARAJIWA NA SWAGA ZA ALAKHAT...!!!
DECOR...!!
WADAU BADO TWAENDELEA KUSHAREHESHA ARUSI YA SNULLA & TWAHIR, MAAJALIWA YAKE MOLA ITAFUNGWA HUKO ZANZIBAR, HII NDIO SHUGHULI YA SABA JAPOKUWA SIKUWALETEA PICHA ZA SHUGHULI YA KWANZA NA PILI, ILIKUWA NI NYAMA CHOMA NA KUNYWA KWA KWENDA MBELE, HAPANA CHEZEYA CATERER YAHAYA, ZAMA NDANI KUONA ZAIDI, WADAU HIKI NI KIONJO TU PICHA KAMILI ZAJA

CHEZA
 LIVE BAND SINZA SOUND "OLD IS GOLD"
DALILA JAGAR MAMA WA KUSHEREHESHA, MPAKA CHINI.......!!
NYUSO
 DADA MWENYE SWAGA ZA UKWEE'E ZA NAIJA
 BEST COUPLE SAIDA & DAUD
 MY LITTLE BRO! KOMBO & FRIEND
MOODY & HUSNA
RED CARPET
MAMA WA SHUGHULI MARIAM TWAHIR NA MARAFIKI
 FADYA ALWAYS ANAVISHWA NA AMINA DESIGN
 CUTE RUKIA (MRS)
 NANA & HUBBY
 MASOOD & KASSIM
YAHAYA - ALIYEANDAA SHUGHULI!! 
You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.