Sponsor

WANAFUNZI WOTE WALIOSOMA KIBOSHO GIRLS SECONDARY!!!!

4:04:00 AMKWA WANAFUNZI WOTE WALIOSOMA KIBOSHO GIRLS WANATAKIWA KATIKA MKUTANO UTAKAOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 2 MACHI 2013 KATIKA KLABU YA BRAJEC  TPDC FLATS MIKOCHENI KUANZIA SAA TISA MCHANA. TAFADHALI ATAKAYESOMA UJUMBE HUU AMTAARIFU MWINGINE. TANGAZO  LIMETOLEWA NA MWENYEKITI DR FLORA ISMAIL.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.