Sponsor

NAIJA WEDDING!!!

3:30:00 PM


  NGUO YA BI HARUSI  CRYSTAL STONE GOWN, NIMEPENDA SANA BI HARUSI YUKO VERY SIMPLE BUT EXPENSIVE!!! TUIGE NA SISI KWETU NI HARUSI CHACHE SANA ZAPENDEZA, JE LINI WAO WATAIGA TOKA KWETU...??? ZAMA NDANI KUONA ZAIDI....!!!


 KWANINI WATOTO WANASHANGAA MAARUSI WAKIKISS??


 WAPAMBE WASAFI...!!
KIBANDIKO SWAGA ZAPENDEZA EEH
 UMEONA!!
 HUYU NANI VILE??

You Might Also Like

2 comments

  1. kweli kabisa very simple but nice si umeona jinsi bi harusi alivyovaa dropping earing hajaweka mkufu wala nini kwani kwenye gouni kuna stones ingekuwa bongo basi ungeona na bonge la limkufu shingo kha!

    ReplyDelete
  2. mhhhhhh jamani!tusiwe wa kuwapongeza tuuu wenzetu hata sisi pia twaweza kuwakosoa!! ukweli kapendeza sana lakini hiyo shingo imenyooka sana ilitakiwa ipambwe na kamkufu simple wajameni ehee!!

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.