UKO TAYARI KUKUMBUKA ENZI ZILE!!! 80's & 90's


MAPIGO YA MIAKA YA 80'S & 90's YAMERUDI?? SIKUMBUKI JINA VINZURI HII STYLE ILIKUWA INAITWAJE?? NI JULIANA?? SASA VERSACE AMEKULETEA ZAMA NDANI KUONA ZAIDI!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

 1. zilikuwa zinaitwa bahamamama km sikosei

  ReplyDelete
 2. Sio bahamamama ni "bawama" kifupisho

  ReplyDelete
 3. HAYA MASHATI YANAVALIWA SANA VISIWA VYA CAREBIAN. INFACT NI MAZURI KUVAA CASUALY KAMA BEACH VILE (BEACH PARY) HIVI LAKINI HUWEZI KUVAA OFISINI. HASWA HASWA KWENYE BEACH PARTIES NA HIZO SHORTS ZAKE (KAPTULA)

  ReplyDelete
 4. GIANNI-VERSACE AKAUZE KWAO HUKU KWETU HAYATANUNULIWA KAMA KUNUNUA WACHACHE SANA. LABDA KUWEKA KAMA SOVERNIR

  ReplyDelete