Sponsor

NAIJA WEDDINGS!!!

11:13:00 PMNguo mshono mburuzo....zama ndani kama kawaida..!!


 Hii kwetu ndio barua ya posa eeh!! kuna haja ya kuiboresha zaidi  ili iweze kukaa muda mrefu na kuwa kumbukumbu sio barua ya kawaida eeh!!, ni nzuri na vizanzi vyako vikaona wakati baba anamposa mama iliandikwaje!! wadau wangu maoni yenu muhimu!!!You Might Also Like

3 comments

 1. mashallah wamependeza sana very cute

  ReplyDelete
 2. Yaani wasafiii na nguo za kiislam yaonekana ni muslim wedding

  ReplyDelete
 3. Hawa watu Ma'ansha'Allah wamependeza mno mno mno!Simple but muuuwah!

  Ahlam London!

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.