KIJACHO::ARAFA & SAID WEDDING RECEPTION

Kwangu mimi hii ilikuwa best wedding for 2012, kwanza nguo ya Arafa ni Crystal Stone Wedding Gown, Arafa alipendeza pande zote!!!! wakati anaingia taa zote zilizimwa na ukawa mwanga maalum ambao unamfuata (Follow Light) upo mdau...!!
Zama ndani kuona Decor...!! na Black Carpet...!! duuuuuh hapana chezea!!!umeona Veli eeh!!!Decor..!! hapa inabidi tuzungumze wadau...!! ilikuwa ni black n white so lovely!!!
Black Carpet

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

7 comments:

 1. Mashallah.. rangi mwanana na watu walipendeza japo picha umetuonjesha tu wala hatujatosheka!!

  ReplyDelete
 2. Mhh hii shughuli ya kukata na shoka wallah

  ReplyDelete
 3. da hellen nasubiri kwa hamu picha,km harusi za mamnton vileeeee,waaooh the black carpet waz fabulous

  ReplyDelete
 4. mashallah biharusi very cute kapendeza sana

  ReplyDelete
 5. sijawahi kuchangia katika hii blog lakini harusi ya ukweli watu waukweli walipendeza classic yaani utafikiri sio bongo, kwa funga mwaka hii harusi ni kiboko ya , nawaombea maharusi wadumu katika ndoa yao , mungu awalinde na kuwaongoza.

  ReplyDelete
 6. C'est vraiment cool, Je ne sais pas quoi dire à part que j'ai aimé lire cet article.
  C'est un très bon conseil.

  My blog post ... Kenza

  ReplyDelete
 7. nzuri mwaya mwe

  ReplyDelete