HELLEN URIO (RAHMA) KITCHEN PARTY

VENUE:: MARKHAM MAYFAIR MIKOCHENI
ENTERTAINMENT:: RUSHA ROHO & ORIGINAL AFRICAN BAND
BRIDE:: HELLEN URIO (RAHMA)
COLOUR:: YELLOW, PURPLE & WHITE
MAKE-UP:: GLAMBOXWEDDING
MC:: MISHI
CATERRER::
DRESS::
DECO:: PACO

 
 
RAHMA AU HELLEN KUPENDEZA KAWAIDA YAKE, MAKE-UP, YAKE KAMA KAWAIDA PAMBE, INGIA NDANI KUONA ZAIDI...!!
         
  
MC
Rahma akiingia
Decor...!!
CAKE
 ZAWADI
Rahma akifichuliwa...!!!

MAMA AKIMFICHUA MWANAYE
DADAZ!!


SHOSTITO'S WA UKWEEE
SHANGAZI WAKIMFICHUA MWANAO
Cake & Champagne 

RAHMA ALIFUNGU CHAMPIAN 
RAHMA KILA KITU KWAKE, MAMA YAKE NDIO WA KWANZA, INATIA RAHA SANA...!!!
SHOSTITO SAMEERA, HAPANA CHEZEA!!!


KAMA KAWAIDA NI WEWE TU MAMA YANGU!!!
MASHANGAZI NAO WAKIGONGA GLASS NA RAHMA!!


MAMA YANGU ASANTE!!!
 RAHMA AKITOA UTAMBULISHO WA FAMILIA

NENO LA NASAHA
 MAMA MZAZI WA HELLEN AKIONGEA NA MWANAYE
INJINI YA JIJI, PIA ALIPATA MUDA WA KUONGEA NA HELLEN
CHEZA!
JAMANI ILIKUWA RAHA SANA, MAANA WATU WALICHEZA SANA!!
BI ARUSI LAZIMA UFURAHI SIKU YA SHUGHULI YAKO!!


MARIAM MNTAMBO, SHARRIFA

TUNZA

HELLEN AKIMTUNZA MAMA YAKE KWA HESHIMA!!!

MWISHO NILIMSIKIA HELLEN AKIMWAMBIA MAMA ASANTE...!! MIE MACHOZI TELE MACHONI, SI UNAJUA...!!!
SHANGAZI AKITUNZWA
MAMA AKIENDA KUMKABIDHI RAHMA ZAWADI ZAKE

JIKO LA UMEME MWANANGU, UKAMPIKIE MUMEO!!
WASHING MACHINE, WEWE NI MFANYAKAZI, BASI USIPATE TABU YA KUFUA EEH!!

WADAU MNAWAKUMBUKA HAWA?? HABIBA & HALIMA MPAKANJIA SHUGHULI ZAO ZILIRUSHWA MASHUGHULI
MAMA AKIMKABIDHI MWANAYE VYOMBO VYA JIKONI


RAHMA AKICHEZA NA MAMA KWA FURAHA!!!
SOMO BAMVUA AKIKABIDHI ZAWADI YAKE, NA PAMBE YA SOMO!!!

FAMILIA YA ARAFAT WAKIENDA MTUNZA MAMASAIDA WA KANYAU, YOU ROCK, SIJUI KWA NINI SIJAKUPATA KWENYE RED CARPET!!
SAMEERA AKIENDA KUMPA SHOSTI ZAWADI YA UKWE'EE, WADAU HAPANA CHEZEA EEH WA MJINI NI MJINI TU!!!
SAMEERA AKISINDIKIZWA NA SOMO YAKE SAIDA KANYAU!!

SHOSTI MIE NA WEWE MPAKA KIFO KITUTENGANISHE UPO HAPO MDAU!!, JAPO KIDOGO HII NDIO ZAWADI YANGU

DADAZ!!!, WADAU THEME YA SHUGHULI HII ILIKUWA ENGLISH SPEAKING

WAKAMTUNZA BIBI KWANZA
KISHA WAKAMKABIDHI RAHMA DRESSING TABLE NA KITANDA!!
    

HAPANA CHEZEA DADAZ!!!
FAMILIA YA SENKORO WADADA WA MWENGE, HAPANA CHEZEA WAO NI DOLLAR
UMEONA EEH!!!
NILIIPANDAJE HII ZAWADI, PACKAGE YAKE NI AFRICAN BOX!!!


WIFI WAKIMTUNZA RAHMA
MAMA AKITUNZWA


MARAFIKI TOKA ZANZIBAR
HALIMA MPAKANJIA AKIMTUNZA SHOSTI WAKE
CHAKULA
CHAKULA KILIKUWA VERY TASTE JAMANI DUUH NAMBA YA CATERRER SINA

NYUSO

NARGIS

NANA KANYUA, YOU ROCK!!!


BAHI NA MAMA EEH!! POCHI..!!
MARIMA MNTAMBO


SHARRIFA NA MWARI WAKE KHADIJA, MARIAM
TASHA..!!
LULU & REHEMA
LATIFAH & SHOTITO!!!

HAJARY KIHAGO!!


RUKIA, CHRISTABELLA & HAJARY

SAIDA & TASHA
RED CARPET

NGUO YA SAMEERA DESIGN BY JOHA SIMBAMARIAM K!I LOVE THIS PICTURE, UMEONA MMWAGO WA SAMEERA JOHA SIMBA DESIGNER
PENDEZA EEH!!!

FAIZA KANYAU!! HAPANA CHEZEA..!!
TANISA FEREJI UKO JUUUUU!!!!

SWAGA
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

6 comments:

 1. BI harusi amependeza sana Maryam Mtanmbo umetoka bomba u r so cute. Salma Gekpe

  ReplyDelete
 2. bi harusi nimempenda amechangamka balaa,ila tatizo moja tu,vinyweleo ilitakiwa aviondoe kwenye mikono

  ReplyDelete
 3. sio kila mshono lazima nawe ushone jiangalie kwanza mwili wako kabla ujashona... izo make up uwi jaman wamama kwani mkipaka kidogo tu itakuaje?? tanzania bila mkorogo inawezekana

  ReplyDelete
 4. KWA KWELI CHAKULA KILIKUWA NA LADHA SANA NAOMMBA NAMBA YA HUYO MPISHI HASA ILE SUPU MISHIKAKI NA KUKU NA ILE PILIPILI YAKE NI TOFAUTI KABISA

  ReplyDelete
 5. BI HARUSI KAPENDEZA NDO YULE YULE HELEN WA ASYCUDA MTOTO BADO NI MBICHI HUYU JIFAIDIE

  ReplyDelete