Sponsor

FASHION FIXX - DUKA LA MITUMBA (GRADE ONE)

10:57:00 PM

NI WAUZAJI WA MITUMBA ILE GRADE ONE, JE UNATAKA KUTOKA KIVYAKO, USIFANANE NA WENGINE?? TEMBELEA FASHION FIXX, UTAPATA NGUO QUALITY NA FASHION ZINAZOENDA NA WAKATI KWA BEI POA
WANAPATIKANA: SINZA MAPAMBANO NEXT TO MINI SUPERMARKET
WASILIANA NAO KUPITIA NO.: +255 655 900 583, +255 688 244 243
NENDA NA PICHA UONE WANAOVISHWA NA FASHION FIXX

ZAMA NDANI KWA PICHA ZAIDI

You Might Also Like

4 comments

 1. hongereni kwa nguo nzuri tutapita kuzuru mitumba grade 1 ndio mpango mzima wachina ukuinama tu kwisha habari, ukifua tu kwishney

  ReplyDelete
  Replies
  1. Karibu sana dear. Dukani tunatoa hata ushauri wa kabati lako zima. If u let me nitaupdate kabati lako zima

   Delete
 2. Kwa Sisi wa mikoani tunatamani lakini hatuna jinsi je Arusha mtakuja lini

  ReplyDelete
 3. je na size kubwa ziko wapendwa? maana wengine diet bado hatujajaaliwa lakini tunataka kupendeza.
  Asante

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.