ARAFA & SAID WEDDING RECEPTION

Venue:: Regency Hyatt Kempisink
Colour:: Black n White
Decoration::Faso Company Limited
Arafa akiingia ukumbini

 
Princess Arafa alipendeza sana, nguo yake ilimkaa sawasawa ukija kwenye mpangilio mnzima wa shughuli  ilikuwa mnzuri sana, theme ilikuwa ni kula, kunywa na kucheza muziki, nguo yake "Crystal Wedding Gown" ni nzuri sana, jamani wadau naona maneno yamekwisha ebu zama ndani ujionee mwenyewe!!! Arusi hii ni funga mwaka 2012....!!! 


Camera zote kwa Princess Arafa...!!
ARAFA & SAID
 

Decor....!!!!!
Wadau hapa kaeni mkao wa kupata vitu vipya katika tasnia ya decorations sooon nawaletea habari kamili...!!BLACK CARPET, WADAU NI NI SEHEMU YA PICHA!!!!
TABLE SETTINGS
UKUMBI ULIVYOONEKANA PANDE ZOTE!!!
Pete
PETE ZILIFICHWA KWENYE ROSES!!!
SAID AKIMVISHA PETE MKE WAKE ARAFA
THIS IS FOR YOU MY LOVELY WIFE!!!
Cheza
SPECIAL KWAITO FOR SAID AND ARAFAFAIZA, TANISA & NADIA NA MAARUSI


FAIZA & HER DAD DAUDI KANYAU
ZULEKHA LODI AKIWA NA FAMILIA YA RAIS MSTAAFU MWINYI

SALMA LODI & FRIEND NA MAARUSI
SARAH MASASI, ROSE RUPIA & ZULEKHA!
SAIDA KANYAU, ZULEKHA NA MARAFIKI PAMOJA NA MAARUSI
NYUSO
CUTE BABY, ME PENDA WEWE SANA!!!
 
DAD's DAUGHTER
ESHE SURURU, MWENYEKITI WA TAASISI YA ESHE SURURU FOUNDATION
NANA & HUBBY
ISABELLA & FAIZA MAFISH
Nuru na wifiye
Saida na Kanyau na mama
Black Carpet
SISTERZ  

 Swaga

Asante kwa kunitembelea

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

11 comments:

 1. Wow mashallah mashallah mashallah, wote tuseme mashallah hakika arusi ilikuwa nzuri sana kwa kila kitu.

  ReplyDelete
 2. harusi ilikuwa nzuri sana kupita kiasi hakuna mtu yyote aliyechafua na mipoda.

  ReplyDelete
 3. Harusi ya ukweli,everything on point, watu walivyovaa,make up,decor

  ReplyDelete
 4. Yaani hii Harusi mashughuli ni number one kwa blog yako very classic no too much make ups duh!On point mpaka wazazi!

  ReplyDelete
 5. Pendeza mno Deco mahali pake mpaka ukumbi mahali pake no sweating duh !Hongera kwa picha hadi raha kuziaangalia!

  ReplyDelete
 6. Hukutuonyesha menu tu tushibe kwa picha!

  ReplyDelete
 7. Harusi ilikuwa nzuri sana, imependeza kwa kweli.

  ReplyDelete
 8. Awali ya yote niwapongeze sana maharusi.Pili kwa kweli walivyovaa maharusi na wageni woooote waalikwa its classic.Nimependa.Na kwa mwaka mzima hii ndio namba one.Congrats Arafa & Said.

  ReplyDelete
 9. harusi ni nzuri sana yaani sina hata cha kukosoa mapambo mazuri, watu wamependeza sana yaani we acha tu

  ReplyDelete
 10. MASHALAAH!!!harusi ilikuwa SUPER!!!hapo kwenye make up ndipo patamu yaani yatupasa tujifunze kupitia this wedding

  ReplyDelete
 11. Harusi nzuri sana kila kitu kipo sawa no mipodali no kokoro hongera arafa nd said saida kanyau upo juu kama dege la obama wakuache miaka 800 na daudi wako mlee watoto kwengine alikuwa anatafuta now kapata kuleni maisha wenye wivu wajinyonge

  ReplyDelete