VANGA LATIKISA MITAA YA ILALA JANA, TANT BOY AKIWAPELEKA WANAWARI MKOLENI

 Tant Boy ambaye mwanaye ndio anachezwa, upo hapo mdau hapana chezea, huyu dada, shughuli ya kumtoa mwali ni kesho!!! tena kwenye hall kubwa na kamati imekaa na kupanga mambo sasa nyie wadau wenye mambo ya kizungu mtajiju, muacha asili mtumwa yeye si mtu wa mabridal shower
 Wanawari wakipelekwa mkoleni, ushawahi ona hii weye wapi?? kama si mimi mashughuli!!!
 Sare ilikuwa Jah People never die colors!!
 Kama ulikosa ni wewe tu wote walikuwako
 Situ Mwasi best friend wake Tant, wanawari walitokea kwenda mkoleni
Hakuna cha designer wala nini wote ni Jah People!!!

Mkao ule ule wa zaja kwa wingi!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

 1. Mh hii ngoja tuwaachie wenyewe...kweli hapana chezea ilala/crew, nasubiria picha zaidi.

  ReplyDelete
 2. mambo haya mashughuli nakuaminia dada yangu sisi wabara haya mavanga tulikua tunasimuliwa tu leo tunayaona kwa macho hii dotcom inatutoa matongotongo nasubiri picha zaidi nitachungulia humu kila saa

  ReplyDelete
 3. nimependa hii,maana siku hizi ni kwaite tu mambo ya kuiga iga.mdundiko na vanga wacha virudi.vanga hata likiwekwa kwenye shughuli linachangamsha

  ReplyDelete
 4. mna mambo nyie mmh!

  ReplyDelete
 5. mh ilikuwa poa sana hapana chezea watu na asili zao,samahani wadau wa mashughuliblog naombeni mniambie tofauti ya vanga na mdundiko ni nini?

  ReplyDelete