TZ WEDDING!!!

PATA MUONEKANO WA PICHA ZA HARUSI ZETU, KUMBE PICHA NAZO ZINASAIDIA KUELEZEA ARUSI YAKO ILIVYOKUWA, ANGALIA PICHA ZIFUATZO KAMA UMEFURAISHWA NAZO TUPIGIE SIMU MPIGA PICHA ANAPATIKANA
+255 655 426 100, KAMA KAWA SONGA NA PICHA KUONA ZAIDI............!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

6 comments:

 1. wamependeza sana ila mie siku hizi sijui nimekuwaje eti sipendi kuangalia harusi kama hii ambazo watu wamejitahidi mno kuwa perfect. Napenda zile unazoalikwaga karikoo,magomeni etc zinanipa raha mno kuangalia na pia wageni waalikwa. Sijui nimekuwaje yesuu

  ReplyDelete
  Replies
  1. mdau umenichekesha mimi mwenyewe nimetoka kuangalia vanga la ilala nikarudi kuangalia wari wanatoka kubonyeza hii post nikasikia macho yamepoa na uchangamfu umekwisha haya wee wote hatufanani kila mtu anapendeza na asili yake wenye muonekano wa perfect wamependeza na harusi yao imefana na ndugu zetu wa magomeni kariakoo nao wamependeza kama desturi yao yote maisha mungu katubariki

   Delete
 2. you are right dearest hapo juu. check wenzetu nigeria wanajiachia tu.zetu tunakuwa tupo atention sanaaaa, need to relax bana. Muone bwana harusi anavyomlisha keki darling wake utasema dr anamng'oa jino mgonjwa. ila bi harusi mrembo nimependa alivyotengeneza nywele na make up ni simple. na pia kapozi vizuri angalia picha ya sita alivyodeka muone mume sasa utajuta. angalia ya pili bibie alivyocheka kapendezajeeee?

  kuna maid mmoja hapo ana dimples nimempenda mwanangu ana dimples kama yeye ila wa kiume

  ReplyDelete
 3. Harusi nzuri ila Watanzania bado tupo nyuma sana kwenye issue ya upambaji,mvuto yani hatuna kitu kipya kila siku kitu ni hicho hicho kwa kweli tunatakiwa kujipanga na kutoka upya...ukiangalia kwa mfano wenzetu NIGERIANS harusi yao huishi hamu kuitazama...unatamani umpekue unaemwangalia kuanzia ndani mpaka nje imekuaje katokelezea hivyo au ni uumbaji wa MUNGU? wapambaji wetu changamoto kwenu PLSSSSSSSS acheni mazoea WE NEED S'THIN DIFFERENT FRM U. Km nitakua nimewakwaza watu naombeni msamaha ila nimeona nitoe lililo moyoni mwangu.


  ReplyDelete
 4. Duhhh jamani watu mnamaneno...hahahahhahaha yaani nimecheka leo.Huyo Mdau aliyesema anavyomlisha keki kama Anamng'oa jino mgonjwa!!!!!!

  ReplyDelete
 5. Jmani acheni ubaya! wamependeza saana tu, hata hivyo mbona kuna improvement kubwa tu, hata mkisema NAIJA ni wabunifu, hata wao wanaigana, haiwezekani kila harusi ikawa na pambo la aina yake. Je? wewe unaweza, basi toa namba zako watu wawe wanakuona kila siku una design kitu kipya (is it possible) hebu tupeane moyo!! lo mpaka tuoneshe uswahili wetu?

  ReplyDelete