Sponsor

TRUE LOVE, NEVER GOES OUT OF STYLE: MUJUNI & DOROTHEA WED!!!!!!

1:36:00 AM

 Mlisema hayawi hayawi mbona yamekuwa?? baba kapata mama, mama kapata baba, wamependezaje!!! nice couple eeh!!, bonge la harusi ni hapo Mlimani City!! sherehe iliendeshwa kwa theme ya KKK!! je unaelewa maana yake!! zama kuona zaidi...!!! Your mine baby!! kithungu muhimu..!!
 Mtoto msaaaaaaaaaaaaaaafi hana doa!!


 hizi pozi sio za ufashinista tu hata hapa zinaingia
 No one will take you away from me your mine forever!!
 Pics thanks to GRM PRODUCTION

Mashughuli Blog camera!!!
 My sister in Red carpet!! Joha Simba
 mama na wana!!!
 sistaz forever!!!
La'Familia!!!

KKK theme = kula kunywa na kucheza hakuna longolongo!!

You Might Also Like

5 comments

 1. bi harusi simple no makorokocho usoni na cjui wapiwapi bt kapendeza kwelikweli,hongereni maharusi

  ReplyDelete
 2. Lovely couple,Mujuni kaka hongera,hope huyu ndo mke Mungu kakuchagulia,m praying for your newly marriage,wish u endless love,happy n joy life

  ReplyDelete
 3. Weraaaaaaa.hongereni maharusi.bi harusi mashaallah umeumbika mtoto mreeefu sura ya kinyarwanda no nyama uzembe!!!1watanunajeeee na kati ya wapaisha ndege!!!!1

  ReplyDelete
 4. Mungu awabariki sana muishi maisha ya upendo, amani, furaha na afya njema na uzima tele. Awafungulie matumbo na kubariki uzao wenu

  ReplyDelete
 5. heheeeee mama mupaisha ndenge wapi wewe mujuni congrats lovly bride

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.