SHUGHULI YA KHADIJA & ZULFA VIP HALL DIAMOND JUBILEE


 Huu ndio mwanzo ndio mwanzo wa wa shughuliya wari wetu Khadija na Zulfa, samahani wadau kwa kuchelewa kuzipost...songa mbele uone picha!!


Wari hawa walivaa nguo mbili mbili..!!Nguo ya pili
Decor....!!


Keki kila meza
Mlangoni kila mualikwa alipata upande wa khanga


Wazazi wakiingia ukumbini
Burudani
Segere!!!
Esha Mashauzi na bendi yake hapana chezeyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!


MC
Kulikuwa na Mc watatu, wakipokezana!!
JK mia kwa mia nakuaminia!!
MC jojo
Cake & Champaign 


Chakula
Kulikuwa na chakula cha mchana, chai ya jioni na chakula cha usiku, sikuweza kupiga vyote nilizidiwa!! eeh ukiwaita watu uwape na chakula kwenye vivywaji usiseme watu walikimbia, sasa vunja kamati subirini!!swaga za wariMashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

  1. wazazi nawapa hongera mila na desturi ni kitu cha muhimu sana katika jamii asili yetu tangu mabibi na mababu waliyafanya jamii inaishi kwa heshima wanawari wanapata mafunzo yenye heshima wanajitambua wanajiheshimu sio mambo ya kisiku hizi wanawari wanapapuka mitaani hovyo heshima hakuna mila hawazijui basi mtoto wa kike mchafu kuanzia mwili mpaka mdomo analala na kila mwanaume anaekutana nae hawajiheshimu wakivaa nguo chupi nje nje makwapa machafu mtoto wa kike chumba chake mwenyewe harufu kutandika hajui kufua hafui nyumba wanazoishi chafu kupika hawajui karaha tupu ukiuliza wanaenda na wakati wanawake wenzangu mila na desturi ni muhimu kwa vijana wetu sio wa kike peke yao hata wa kiume turudishe ustaarabu wetu ule waliokulia wazazi wetu mwanamke anatimiza majukumu yake na mwanaume anatimiza majukumu yake ndio maisha nimependa hiyo mila hapo kwenye mkono mnafatisha yaleee ya kinyumbani kabisa hongereni sana na wee dada mashughuli kazi yako nzuri dada ubarikiwe

    ReplyDelete
  2. wazazi nawapa hongera mila na desturi ni kitu cha muhimu sana katika jamii asili yetu tangu mabibi na mababu waliyafanya jamii inaishi kwa heshima wanawari wanapata mafunzo yenye heshima wanajitambua wanajiheshimu sio mambo ya kisiku hizi wanawari wanapapuka mitaani hovyo heshima hakuna mila hawazijui basi mtoto wa kike mchafu kuanzia mwili mpaka mdomo analala na kila mwanaume anaekutana nae hawajiheshimu wakivaa nguo chupi nje nje makwapa machafu mtoto wa kike chumba chake mwenyewe harufu kutandika hajui kufua hafui nyumba wanazoishi chafu kupika hawajui karaha tupu ukiuliza wanaenda na wakati wanawake wenzangu mila na desturi ni muhimu kwa vijana wetu sio wa kike peke yao hata wa kiume turudishe ustaarabu wetu ule waliokulia wazazi wetu mwanamke anatimiza majukumu yake na mwanaume anatimiza majukumu yake ndio maisha nimependa hiyo mila hapo kwenye mkono mnafatisha yaleee ya kinyumbani kabisa hongereni sana na wee dada mashughuli kazi yako nzuri dada ubarikiwe

    ReplyDelete