SANURA KIHEMKA KITCHEN PARTY

Venue:: Zhongua Garden
Colour:: Red, Orange, Green
Designer:: Joha Simba - +255 815 612 954
Bride:: Sanura
MC:: Adella


 Niliwapendeje mabinti hawa!! hiyo cheza tu, pozi za ukweee, halafu wote baba moja mama moja, ingia kuona mambo yalivyokwenda hapo Zhongua....!!!

 wote ni sistaz!!

Hapana chezea sanura pozi hiyo!!
MC Adella ndio aliongoza shughuli hii, kumbe MC sio lazima upige makelele eeh!! MC Adella anaongea taratibu tena kwa kubembeleza, halafu maneno machache nimempenda!!

 Nguo ya Sanura designer ni Johas Simba anapatikana kwa namba +255 715 612 954Mburrzo tulivu usio na taabu!!
Mama mzazi wa sanura akiingizwa ukumbini
Decor.....!!!!!


 Boga!!

 M\Kiti wa akiwakaribisha wageni
Sanura akitoa utambulisho wa familia
Cake & Champgnie Mama akimpa mwanae maneno mawili matatu ya muhimu
 Hii mie niliipenda sana, baada ya mama kuongea na mwanaye ndugu na marafiki zake wakamtunza 
 Mama akiwashukuru ndugu na marafiki 
Cheza

Rukia Ramadhani toka Zanzibar!! Selelea!!!


wangoni wakigalagala
Zawadi
Alianza mama kumpa mwanaye zawadi aliyomuandalia kabati la nguo na sanduku la mama


Mrs. Isabella Rweyemamu alimkabidhi fridge na coffee table, kwa niaba ya mume wake

Clara alimkabidhi sofa set, Clara pia ndio M/Kiti wa kamati kwa kweli alishiriki vinzuri sana, kinzuri chajiuza hata uulizi bwana, hongera sana dada mimi nakupenda sana

Pili yeye alimkabidhi Gas Cooker with Oven!!
Aika masoud akimkabidhi shostito water Dispenser

Wafanyakazi wa Ofisi Elekezi (Ikulu) wakijimwaga kumpa mkono wa hongera Sanura na zawadi ndogo sana, lakini zawadi kubwa itatolewa kwenye harusi..!!


Kila mtu alikwenda na mbwembwe zake!!

msishangae wote hawa ni ofisi ElekeziNa pia ni wadau wa mashughuli blog naringaje!!! hapana chezea
Mashangazi

Clara akiwaongoza wana kamati wenziwe
 
Clara akikabidhi vyombo mbalimbali za vya jikoni kama zawadi yao 
 NyusoRed Carpet
Designer by Joha Simba Upanga
umeipenda??
piga simu +255 715 612 954

sare sare maua!!Swaga's 

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

7 comments:

 1. mmmmmmmhh safi hiyo huyo mtarajiwa amependezaje jamani niceeeeeee

  ReplyDelete
 2. kwakweli shughuli ilipendeza sanaaa, Sanura big up na kamati yako

  ReplyDelete
 3. shuguli ilipendeza bi harusi katoka simple na kavutia. hongereni sana

  ReplyDelete
 4. chezea Sanura weye, funika mbaya,

  ReplyDelete
 5. betty mbaga weeeeeeeeeeeee,pendeza sana tu[namfua team}

  ReplyDelete
 6. it was good dressed simple but clear well arranged big up commettee

  ReplyDelete
 7. Hongera sana shangazi langu.... Kila la kheri my dear!!!!

  ReplyDelete