RED YA CARPET YA SHUGHULI YA KHADIJA & ZULFA! DIAMOND JUBILEEE VIP

Wadauz najua kabisa mnasubiri picha za shughuli ya Tant Boy kwa hamu kubwa, lakini kwa yule ambaye alikuweko pale ni wazi kabisa aliona mambo yalivyokuwa ni historia, so inabidi nitoa picha kwa mpangilio mambo ni mengi sana!!! maana nasikia maduka ya mjini yaliuzaje nguo!! usishangae mtu mmoja amepiga picha mbili nguo tofauti kila wari walipokuwa wanabadili basi na waalikwa wengine walibadili chooni, kwa maana hiyo watu walikuja na nguo mbili mbili au tatu, we songa na picha!!!
Super Star Tant Boy hawezekaniki, waswahili wanasema iga ufe, 
nguo ya Tant toka Amina Design
Tatu Lumelezi, mkuu wa vinywaji!!
 

Zama ndani kuona zaidi..!!

Designer Bahiya

Shostito

Katende Simba, umetokeleze!!


Designer Joha Simba nimependaji mshono!!
Tanisa Mwaibula hapana chezea


Tahiya & Shostito Its Pamela Opam, muwaache miaka 100 msiwaingilie kamwe!!! kila mtu na mtuwe!!


Mariam
Mama Tant mdogo
Designer mtoto
Ankal Yahya mpishi - nakupendaje!! 
Nguo ya pil
Wazazi eeh!!
cute Fadya
Nuru Tusharrrrrr


Hii ni ya nguo ya pili zote toka Amina Design!!
shostito
Jamiladogo langu sameera & kampani

Nguo - Amina Design

Mie na mdogo wangu, unajua zaitwaje? ketekete umezipenda nipigie simu!, bei poa
Designer Bahiya

Tanisa, Hasina & TahiyaKhadija & Zulfa na shangazi Situ Mwasi, Rais wa Ilala
Nguo za kwanza,Nguo ya Khadija toka Amina design

Mama na wana,
Wazazi, wari na masomo
kaka na dada

Watoto wa Nuru Mwene
Shariffa, Saada & friend
Tanti na watoto wa Nuru Mwene
Swaga
 Hapana chezea BOSS, Shani Simkoko
 Mama Shani Simkoko - Kilos za Ukwe'ee
 Katende Simba - MADINI, KILOS
 Tatyu Lumelezi
 Saida Kanyau-Raisi ya China!!, kilos
 Fadya & nuru
 Handbag ya Tant Boy-Raisi wa Migomigo!!
Fadya
 Nuru

 Kola, umeona hakikanyagi mchanga toka kwenye carpet kinaingia kwenye gari. hapana chezea!!
Designer mtoto

sasa nakutayarishia NYUSO uwaone kwa karibu sana!! mambo make-up MAC au BABY JOHNSON?? ingia toka ndio napenda zaidi...!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

11 comments:

 1. picha nzuri ila hazifunguki

  ReplyDelete
 2. mashallah,hii kuwatowa wari harusi itakuwaje wawawawaaa

  ReplyDelete
 3. wawaaaaaaaaaa watu wamependeza ila make up waapunguze,kuna dada kanifurahisha wako watatu yeye hajapaka make up kabisa na amependeza amevaa maruni.na wengine wote wapo juuuuuuu chezea Tanty boy weeee.iga ufe.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mchina kariakooo aliuzaje nguo.

   Delete
 4. picha safi sana. zimenikumbusha kwetu kariakoo. mitaa ya Tandamti na Livingstone. Nimefurahi kuwaona watu wengi, wengine nawakumbuka kina Da Joha Simba, wengine nadhani nilisoma nao shule ya Jamuhuri miaka ya sabini. Yaani nimekuwa sooooo Home sick. I miss Tanzania, especially Kariakoo.
  keep it up

  Mdau
  Atlanta GA USA

  ReplyDelete
 5. shughuli nzuriiiii sanaaaa aminia tant boy,si mchezoo...watu wote wamependezaa saaanaaa ila nimempenda sana KITENGE SIMBA nguo yake catalog na madini kama kawaida yakee hayakosekaniii...love yah
  Its me mamajr

  ReplyDelete
 6. jamani nimefurahi sana kumuona wifi yangu Fadya na nduguze, she was cute, she is cute and always will be. amependeza sana

  ReplyDelete
 7. Sharifa umependeza sana. yaaani nilikuwa nimekusahau! S Fashion uko juu. Mambo Turkey eeeh...jamani mambo.

  ReplyDelete
 8. dada mashughuli mimi nataka huwe mshenga wangu kwa bint wa kapuya, imemuona kwenye zile picha zingine,sawa?

  ReplyDelete
 9. shughuli ilikuwa nzuri nimeipenda

  ReplyDelete
 10. Kaman da hellen mamyto wangu anaitwa KITENGE SIMBA na co hvo ulivomtaja. Gud day!

  ReplyDelete