SILMAL

TAFUTA KITU BLOGUNI

Loading...

ONJA:: KITCHEN PARTY YA SANURA!


Invitation Card
Kitchen party ya Sanura ilikuwa ya aina yake bwana watu wanabadilika eeh!! mipangailio ilikwenda kwa kuzingatia muda...!! nguo ya bi harusi imeshonwa na designer Joha Simba hapana chezea!!! zama ndani uone zaidi, mambo mengine yako yanaiva wadau wangu uzi ule ule, bonyeza kitufe sasa hivi usichelewe!!! Mama na wana pendeza eeh!! vishuna!!
 Ashley wapi twin wako Tahiya leo au karuka kuchukua mzigo, mwanamke business
 watu ngaringariNguo za hawa maids designer ni Joha Simba
Mawasiliano.:+255 715 612 954
picha zaidi zaja...!!

1 comment:

  1. nimefurahi kumuona betty mbaga siku nyingi sana

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...