NYUSO KATIKA SHUGHULI YA KUTOLEWA KHADIJA & ZULFA DIAMOND VIP

Wadau nimeona ni bora nitoe vipande vipande kwani picha ni nyingi kwa ufupi shughuli ilikuwa na watu 700 na MC walikuwa 3, mambo makubwa sana Situ Mwasu & Tant Boy hapana chezea kabisa, leo hapa hakuna BabyPowder ni MAC & Mary Kay etc nyuso zinagaa hatari, mmenifuraishaje!!
Sharrifa Hashim & Mariam Mkweche mtu na wifiye
Tahiya & Pamella nyuso ngaringari utafikiri mnakaa Marekani, hamchomwi na jua!! kicheko kwangu sijui nani kanuna!!!


Dotto Omary & Hidaya Mcholwele


Fatma Ndundu

Dalila unadeka eeh!! kwa makunda!!


Mama Manzi nimekukumbuka sana !!
Jamila Kitmtim

Its Pamela OPam pendeza eeh!! Message Send!! utajua tu!!
Mwanaisha Kisoky wa TBC Redio nyuso zinatisha


Hawena & Sophia


Mama Kuyomba uso ngaringari angali usije pata mchumba
Tant Boy Super Star, Raisi wa Magomeni anatishaje!!!
Sittu Mwasi raisi wa Ilala


Mtu na Mkwewe!!

Wajombaz!!Husna Madorora & Shostito

Sharrifa Kavu mutoto mdogo maduka 3!!!Muke pekee ya Awadhi unatambaje!! watanunaje!!
Husna Madenge!
Happy Baghdela
Bilal & Shani Simkoko BOSS
Saida, Raisi wa china na wifiye, dada yake Daudi

Da Soo! wa Kashkash CAPITA RADIOMoody Madenge KOLA & Company
Wanatishajeee, watu walikimbia bia pamoja na uroho!!
Zuhura & Hasina Muke ya Awadhi

Mama Kuyomba nipunguzie hizo pete jamani!!
 Wapishi wa mujini!!!
 Hidiya Mchowele, Mama Kapuya na binti yetu!!
  Saida Kanyau na Daudi Kanyau nani kanuna??? si wale wale!!


   


Huyu jamaa alinizuia kuingia hata baada ya kufahamshwa mimi niko pale kikaziMashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

26 comments:

 1. Mashallah kunawatu wamejaliwa visura na wakijiremba wanavutia sana Tahiya daud kapendeza sana. Mashughuli picha zako zuri sana yani tunaenjoy kinoma naomba umulize shost wako pouda gani anapaka maana nyorotiiiii utafikiri akai dare és salam

  ReplyDelete
 2. Tahiya na pamela wanamereremeta jamani dar kuna watoto warembo sana hakuna mkubwa wala mdogo mambo ya kujipodoa kwa kwenda mbeleeeeee

  ReplyDelete
 3. MashughuliiiiiiiIi juuuuu picha zinamvutoooo hakuna cha marekani wala ulayaaaa watoto wamevutiaaa mbayaaa watoto wamujini hawana shida nirahaaa kwenda mbeleeeee no majungu no karaahaaah shida chini mikono hewani ajulikani asienahela au mwenye helaaa wote maraaaaaaah

  ReplyDelete
 4. Saida china jina kubwa nguo yako nimeipenda sana umerudi kwa muadhama mambo yako weraweraAaaaaah hapana chezeiya watu na bakhati zao

  ReplyDelete
 5. Jamilaaa kitimutimu amewakaaa sana tu shughuli yanguvu hiyooo

  ReplyDelete
 6. Kwakweli Helleni upo juu aminia jamani ,nakupendajeee mwaaah waswahili wanasema mambo ipo hukuuuuu

  ReplyDelete
 7. Very cute mrs daud mpe hongera mr kwa kutunza mashallah

  ReplyDelete
 8. Watoto wamujini utawaona tu wanavyo vutiaaaa hongereni ukumbi mzima mmelipuka

  ReplyDelete
 9. Hatari tu jamani khaaaa hiyo inaitwa magomeni ILala kariakoo mkutanishooo

  ReplyDelete
 10. Dareee salamuuuuu oyeeeeeeeeEeeeeeeEeeeeeeeEeeeeeeeeeeeeeEeeeeeee mchezo pesa shikaamoo makeleeee hakuna kulaaa paka kielewekeee watu hooooo unapesaaaa njoo uone wenyee pesaaa shughuli imetikisa jiji dar nzima hakunagaaaa kama tant boy Mpe akupayeee unaambia wema hahoziiii halo kata mti panda mti

  ReplyDelete
 11. Saida kanyau shikamooooo

  ReplyDelete
 12. Jamani ISha mashauzi na huyo dada wa kwanza hapo juu ni ndgu?? Maana wamefanana sana wazuri jamani

  ReplyDelete
 13. Mwanamke mvutooo na haiba ya kike sura za kutulia na zikiwekwa mecapu zinabamba zinaita wallah da tahiya umependeza sana nakupenda mie mdogo wako Mariamu

  ReplyDelete
 14. shughuli pambe sanaaaaaaaaaaaaaaaa hongereni Tanti na Sittu, Hellen umemuuliza Mama Manzi yupo USA kwa hivi sasa, amesikitika sana kwa kuikosa hiyo pambe, BIG UP TANTI BOY

  ReplyDelete
 15. Nafasi hiyo y kutuma comments za majungu huna tena hapa mashughuli blog, wewe umezaliwa Tanzania nani alikuwa anakujua kama si blog yangu umekupa jina?? ndio maana Mange huwa anawasasambua na comments zenu za kuomba kurushwa, na ukiendelea nitazindika zote hapo mashughuli unjui eeh!! Hapana chezea mim

  ReplyDelete
  Replies
  1. dada mashughuli kulikoni tena? mbona hivyo nani amekuudhi dadaangu? binadamu wana midomo achana nao uko juu dada Helen usipoteze muda wako na hao wakosa shughuli wakuache miaka mia

   Delete
 16. Halooooooooooo mashughuli blog haina mpinzani bwana da hellen nani anakunafikia hapo wachana não wajinga wamepoteza muelekeoooo kama yeye msanii akalipize kwenye TV tupakureeeeeeeeeeeeee kwenye pipa la maviiiii tupishe sieeeee m

  ReplyDelete
 17. Jamani watu wamependeza ila hiyo mirangi katika macho ipunguzweee daaah maaana hata huyo aliyeanzisha hiyo fashion nazani anajuuuuta.

  ReplyDelete
 18. TENA NASEMA HIVI MWAMBIE HUYO HOUSEGIRL WAKO ASINIPIGIE SIMU SINA MUDA WA KUPOTEZA MASHUGHULI BLOG IKO BUSY SANA

  ReplyDelete
 19. shughuli nzuri sana watu wamelipuka. Wengine punguze eyeshadow jico moja rangi 5 kama bendera, hebu waoneni walijipamba simple walivyong'ara, wengine nilidhani wamebandika vinyonga katika macho.

  ReplyDelete
 20. Usilolijuwa usiku wa kiza utawazuzua hao wasiokujuwa!!! Huyo unaye mtumia atulete salamu mnafiki ana kupaka ile mbaya!!! Umaarufu umeushikia bango wapi??? Ukupata enzi za Na nabii nuhu utapata sasa?!! Kajambe mbele...tushakuchoka sisi ni mabest hatuigizi hapa wala hatutafuti watu watu wanatupenda kila rika tuwache Tumekupigia kimyaaaa bado watutafuta wengine cifazetu za dhahabu ukitutia kwenye Tope tuna'ngaaAaa

  ReplyDelete
  Replies
  1. nyie wana kuna nini kinaendelea mbona siwasomi kabisa kaingia kidudu mtu gani humu naona mafumbo mafumbo tu kunaninii mashughuli blog nihabarisheni

   Delete
 21. shughuli nzr sn lkn wanawake watanzani tujaribu kuepuka mikorogo jamani kuna vitu vinaatia kinyaa,,,,mbona natural ni nzr tu

  ReplyDelete
 22. Joha Simba,Dalila Jagan,Bahiya wa Dudai,Fatuma Janguo na mdogo wako,Sharifa wa Sheikh Hashim,Hidaya,Fatuma Mtemvu,Zakiya,Dotto mdogo wake Afua Maganga,Mwanaisha Kissoky. Nakumbuka enzi hizo tulikuwa tunajuana wenyewe kimjini mjini,shule zetu zilikuwa Mnazi mmoja,Kisarawe Street,Jamhuri,Mtendeni,Al-Jamiyatul....michezo ya halaiki ya 1971 na 1974 tulicheza gobogobo....washamba wakuja hawaoni ndani hapo watoto wa kariakoo.

  ReplyDelete
 23. wanawake wa mjini!!!!!! huyu si mtoto wa darasa la saba???? aka mie napita tu!!

  ReplyDelete
 24. Just goes to show you that money can not buy you style. Napita tu.

  ReplyDelete