Sponsor

DUKA JIPYA LA NGUO ZA WATOTO FOR X-MAS & NEW YEAR!!

11:48:00 PM

Duka la nguo za watoto linapatikana karibu na Bank ya Barclays Kinondoni au jengo moja na duka la vipodozi Jackz Kinondoni, wana nguo nzuri na hig quality toka ncho tofauto za ulaya! embu watembelee msimu huu upate nguo ya mwanao for X-mas, wale wadau wangu wanaolalamika kuhusu nguo za watoto wa kiume nadhani nimemaliza tatizo lenu! ingia ndani kuona zaidi
Mawasiliano piga simu no:-
+255 713 371 403

Nguo za watoto wa kiume!


Pyjamas za BEN10, Fadhil upo hapo!Suti za za ukwee'e!!

Swaga za Junior, Neema Matee
Tshirt, jamani natamani ningekuwa na mtoto wa kiume uwa napenda sana Tshirt kama hizi


Hii ni pair swimsuit for boys
Watoto wa Kike

jumpsuit


Hata hii ya Teta


hii ni ya Teta for X-MasSwimsuit for girls
VichangaMataulo ya vichanga
 Viatu kike & Kiume
 Soksi za kike na kiume saa za watoto unisex
 hairband & Vibanio
Nguo hizi ziko on SALE!!
You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.