Sponsor

KOFFI OLOMIDE AWAPAGAISHA MASHABIKI WAKE JIJINI DAR

2:14:00 AM

 MADADA na Makaka wa mujini kwa pamoja waliangukia pande za Leaders kwenda kutomboka na gwiji wa muziki wa dansi barani Afrika Koffie Olomide  aliezikonga vya kutosha nyoyo za maelfu ya wapenzi wa burudani waliojitokeza katika viwanja hivyo.
 Huku akiwa sambamba na mkewe Sindy Koffie aliporomosha shoo ya nguvu huku akiwa sambamba na wacheza shoo wake na waimbaji.
 Shoo yake hiyo ya aina yake ilitanguliwa na burudani kutoka kwa bendi mbalimbali kama vile Skylight, Twanga Pepeta na Mapacha Watatu ambapo kwa pamoja walitoa burudani safi, zama ndani kuona zaidi..!!

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.