Sponsor

KIKI'S FASHION COLLECTION @ SWAHILI FASHION WEEK 2012

8:19:00 PM


 Inapendezaje kuona watanzania wanafanya vitu vya ukwe'eee, Hongera mdogo wangi Kisa Mungu abariki kazi za mikono yako!!!
You Might Also Like

1 comments

  1. Nice job. Nimependa sana nhuo zako. inafurahisha kuona watu wana-design nguo zinazoeleweka na zinazoweza kuvaliwa na watu wengi. Kuna uhalisia katika designs zako. sio kama wale wengne wanaotengeneza vitu vya ajabu kama magwanda ya "wapunga madogoli." designs za kaswahili au kiafrik sio lazima ziwe na makorokoro au mashanga ya kimasai, Sio "waafrika wote au waswahili" wenye asili ya mashanga na makorokoro. wengine kwetu kariakoo, hatuvai mashanga ya kimasai. keep up
    Mdau
    Atlanta Georgia

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.