Sponsor

KIJACHO::WEDDING RECEPTION HAJJI NA MWANAMIMI

2:55:00 AM


 Time for cake...!! hizi ni za kuonja tu picha zaidi...keshooo japo ni za kuonja bonyeza kitufe uone zaidi...!!


 Mama mzazi Muhaza akipokea keki toka kwa mkwe!!
 Baba mkwe na yeye akipokea keki yake 
 Maarusi wakiwa na Hamida, Mama(Muhaza) na Halima mdogo wa Hajji
 Asha, Sophia, Hamida & Mdoe
 Halima Kamusi, hapana chezea my designer, yuko na menda picha
Familia ya Kihago's
Halima, Mwanakombo & Hajji
usibanduke hapo hapo...!!!

You Might Also Like

4 comments

 1. mashaalh mashaal gorgeouse maharusi walipendeza sana na wakwe na waalikwa wote wako juu......Kihago family oyeeeeee

  ReplyDelete
 2. wamependeza wote

  ReplyDelete
 3. Dah, Mwanamimi classmet wangu sijamuona miaka zaidi ya kumi umependezaje?

  ReplyDelete
 4. Hello, I enjoy reading through your article. I wanted to
  write a little comment to support you.

  Have a look at my page - dreamguyseasy.com

  ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.