Khadija Mwanamboka, Evans & Abby MC wa Red Ribbon Fashion Gala 2012, mwaka huu ilikuwa nzuri zaidi..!! dumbukia ndani kwa picha zaidi japo ni kionjo..!!
Waremboz!!
Flavianna Matata & Friend
Nguo aliyovaa Sophia & Flavy ziliuzwa kwa mnada kina dada hao ndio wanunuzi kila mooja 4 million, hapana chezea fedha!!
Fina
Deco...by DECO PACO mkali wa mapambo!!
No comments:
Post a Comment