Hasina Wage & Abuu Mntambo Aqdi!!!!!


 Ukitaka nguo kama hii muone Saida mama wa China!!! , zama ndani kuona zaidi....!!!
Aqdi ikifungwa magomeni Mwembechai

 Abuu Mntambo Bwana arusi 
Chereko chereko tunamtaka mkew wetu
 Weka sahihi
Baada ya Aqdi tukamchukua mke wetu kwenda kula naye dinner upanga kwa mama Salma Mntambo

 MaarusiWakiingia kwenye kasri ya Salma Mntambo

 Mama Salma aliwasubiri na mchele mkononi eeh!!, akiwamwagia
 walipokelewa na dufu toka chuo cha Shadhiry

 
Nyuso
Joha simba & Mariam Best

 Tatu Lumelezi & Mzee Wage
 Lumelezi Family Mr & Mrs Njemba
 Salama Katungunya & Sharifa Hashim
 Mwanaidi

 Saida Kanyau (mama wa China), Saada  & Friend


 Miriam Aziz


 Somo wa ukwe'ee Fauzi Benbela
 Bi Mdanga & Salma Tewa
 Hawena & shostito


 Fatuma Shisha

 Bahiya, Tatu & Fauzia


 Nadia, Nana, Tanis & Faiza 
 Aziz & Sisterz

 Sameera & Shostito Hellen (Rahma) Bi harusi mtarajiwa, hii picha ya mwisho nyingine watakuona kwenye shughuli
Red Carpet
 Halima Kamusi
 Bai
 Joha
 Bai na wadogo zake
 2Sally
 


 Mwanangu umetambaje kwenye Red Carpet

 Mama Salma Mntambo akiwa na shoga yake kipenzi
   
 Salma na mkwewe Hasina


Baba na Mama & friend

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

  1. hongera maharusi, out of topic kuna wadau walilumbana kuhusu cheti cha ndoa mmeona cheti ndio hicho hicho kwa ndoa zote Tanzania iwe kristo, isilamu, bomani

    ReplyDelete
  2. Nimemmis Tant Boy, au hili sio kundi lake?

    ReplyDelete
  3. Abuu mdogo wangu kaza buti bi harusi aonekana mjanja sana.Watu walipendeza sana na ming'aro.

    ReplyDelete