Sponsor

CHAUREMBO!!

10:22:00 PM

 Je una shida ya midomo mikavu? ingia humu umsome chaurembo!

Unatakiwa kutumia Lip Scrub hii ili kuondoa ngozi mfu iliyoko katika midomo yako, fanya hivyo mara mbili kwa wiki

 Tumia Moisturizer lip balm kila siku, ipake peke yake kama base cream lip kabla ya kupaka lipistik ambayo umedhamiria kupaka yenye rangi
tumia aina hii za lipsticks au lipgloss na sio matte kwa kipindi cha baridi

Je wajua wapi pa kuzipta kaa makao wa kumsikiliza bi chaurembo!!

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.