ASYIA KHAMSIN 53 BIRTHDAY BASH @ NYUMBANI LOUNGE


X-mas Eve ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mbunifu wa mitindo Asyia Khamsin, birthday bash ilifanyika nyumbani lounge sambamba na kuwapa certificate of appreciation wabunifu wa mitindo wote walioshiriki onesho la khanga za kale, mwanamitimbo Asyia amefikisha miaka 53 na anaringia umri wake, because she still going strong.....!!! zama ndani kuona zaidi
Asyia akikata cake!!!!

Asyia Akikabidhi Certificate of appreciation kwa wabunify walioshiriki katika Khanga za Kale


 Nyuso

Suprise Drink!!Red Carpet Swaga

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

6 comments:

 1. ASYIA HUYO MZEE UNAEMLISHA KEKI ALAFU KAPENYEZA MKONO WAKE VIPI TENA? MWENYEWE KHAMSIN HAWEZI KUJA JUU?

  ReplyDelete
  Replies
  1. khamsin amekaa sana ulaya hawezi kushtuka lakini mashetani yake ya kinyamwezi yakimpanda anakuwa noma!

   Delete
 2. Bahiya hilo vazi lako nimelipenda.Hapo kilichobakia ni kufunika nywele tu mambo yakamilike.

  ReplyDelete
 3. Hongera sana Asya kwa kufikisha miaka 53. Kumbe bado mdogo sana.

  ReplyDelete
 4. Happy New Year Asyia KHamsin,
  Ndugu vipi mzee huyo kakushika kiuno nawe unamlisha keki? Ndio mwanzo wa mambo mapya. Nakutakia la hheri. Usimsahau Mwenye mali Khamsin mwenyewe au umemtelekeza?
  Halafu brown color is not for you yaani haikupendezi kabisa.
  I thought I tell you so you would know. Just to be kind. Hukupendeza kabisa.
  Sincerely,
  Ndugu Mtanzania mwanachama wa DMV

  ReplyDelete
  Replies
  1. nafikiri hoja si Asyia kupendeza ila hoja ni kuonyesha mitindo tofauti kwa vile yeye ni designer......wakati mwingine bora uandike kiswahili kitupu kuliko kuchanganya na hiyo broken english mtu wangu.

   Delete