Sponsor

AROBAINI YA MAREHEMU HALIMA MNONDWA!

1:40:00 AMFamilia ya Marehemu Mohamed Nassor Mnondwa na Mrs. Amne Mnondwa wa kinondoni, Dar es Salaam, inachukua fursa hii kuwaarifu ndugu jamaa na marafiki kuwa arobaini ya binti yao mpenzi, marehemu Halima M. Mnondwa itafanyika jumamosi tarehe 08/12/2012 nyumbani Kinondoni morocco block 41 saa 7 mchana mara baada ya swalat dhuhuri karibuni wote tujumuike pamoja kumwombea dua!

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.