ARAFA BRIDAL SHOWER!!!!!

Venue:: Water Front Hall
Dress Code:: Dish Dash
Bride:: Arafa Lodi
MC:: Jamila
Caterer:: Talma Caterer 

Bridal Shower ya Arafa ilikuwa nzuri sana wadau, kila kona zote!! picha ni za kumwaga kama kawaida ya Mashughuli Blog, Bridal shower hii ilifanywa na Nana mtoto wa Saida Dawood Kanyau!! kamfanyia mtoto wa somo yake Zulekha Lodi, heshima kwa somo...!! zama ndani kuona zaidi......!!!


Arafa Akiingia Ukumbini
Aliingizwa na somo yake The one & only Saida Kanyau 
 Akapokelewa na mama mzazi Zulekha Lodi
Arafa akifichuliwa
Mama alimfichua mwanaye Arafa!!
Salma Lodi akimfichua mdogo wake!
Saida Kanyau somo akimfichua mwali wake
Nana mtoto wa Saida akimfichua mtoto wa somo!!
Wadau hapa ilikuwa hakuna ile waalikwa wamfichue, ni mama na ndugu zake somo pamoja na Nana ndio walimfichua...!! umeona pesa hizo!!!
Decor......!!!!
Stage ilipambwa na Nana aliyeandaa shughuli....!! very creative, unique n style!!
Burudani!!
Tulikuwa na Melody Live bila chenga!!!
Sabah alikuwepo!!!

Haji
Salma Lodi akituimbia "Umbo langu dawa"
Leyla mke mkubwa wa mzee Yusuf
Halima Kamusi akitunza...! umeguswa eeh!!
Designer Bahiya Lumelezi
Leyla akiimba sina muda huo wa kumdiskasi mtu!!!!
ukiguswa kama Saida wa China lazima utunze!!
Zawadi ya mama!
Zulekha na familia yake ndio walitoa zawadi ya kwanza, full MADINI
umeona eeh!! mdau, si mchezo!!
akafuatiw na watoto wake, wote na MADINI!!!
akimvisha bangili
big hug from mama to mwana!!
Zulekha akiwa na mabinti zake!!
Zawadi ya somo!!
Mwendo mdundo ni yule yule Saida Kanyau "Alwayz on top" akija kumtunza mwali wake Araf masanduku manne, hapana chezea!!
Tanisa
Jack & friend wakimsindikiza mama yao!!
Nana na Faiza wakimsindikiza mama yao!!
umeona eeh!! shughuli pevu!!
Sanduku la kwanza, lilikuwa na vipodozi na perfumes
Handbag za ukwee'e
Sanduku la viatu & sandalz
msasambuaji Fatuma Kibao!!
Evening dress za ukwee'e
Saida akikabidhi Mswala kwa mwali wake
Mimi hii naita SUPRISE kwani tulidhani kamaliza kumbe badooo!!
Fridge, Washing Machine & Gas Cooker
Saida akamkabidhi mwali wake vitu vyake!!
Zawadi ya Nana..!!
Yeye alitoa vyomba vya jikoni na mazagazaga yote!!
Nana mtoto wa Saida Kanyau na mwari wa Zulekha akiongoza kupeleka zawadi
Nana akimkabidhi Arafa vitu vyake!!
Zawadi ya kina dada
Dadaz walileta vitu vya bafuni
Arafa akikabidhiwa vitu vyake
Zawadi ya wakweee
msemaji wa familia ya mume akitoa shukrani
Matunzano
Walianza watoto kumtunza mama yao, wakiwa na kikapu cha pesa
Saida akitunzwa na Zulekha!!
Napenda tunza ya Zulekha, yeye hutoa zote mara moja!!
Watoto wa Zulekha walimtunza somo Saida
Mariam Twahir mama wa Talma Caterer akimtunza Saida
Jamila Kitmtim akimtunza Saida
Faiza akimtunza mama yake!!
Mke wa Zito alimtunza Saida
Marafiki wapenzi wa Faiza walimtunza Saida, uko juuuuuuuuuuuuu Saida hauna mpinzani
Nana akitunzwa
Somo akienda mtunza mwari wake!!
Salma naye alimtunza Nana
Wifi zake Nana wakimtunza
Faiza akimtunza ndugu yake kwa kumfanyia Arafa Bridal Shower iliyokwenda shule, hapana chezea watoto kama mama!!!
Ankal Yahya Catterer akimtunza Nana
NYUSO
Saida & Zulekha
Nuru na mama mkwe wake!!
Faiza & Odo

Faiza & friends
Tanisa & Faiza, Best Friend Forever!!
Tant Boy Super Star & Sittu Mwasi
Fatuma Shisha hapana chezea
Saada & friend
Husna Madohora & friends
Mariam Mkweche
Red Carpet
Ankal Masooud Picadilly new hair style
Mwari na somo
Picha na Arafa
CHAKULA
SWAGA
Asante kwa kunitembelea!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

11 comments:

 1. Mashaallah shuguli nzuri watu wamependeza woooooooteee no too much makeup. safi sanaaaa hongereni

  ReplyDelete
 2. mmmh Da Saida da saida da saida, hata mashughuli anaposema upo juu naona kama neno hilo halitoshi, mashughuli tutafute neno jingine bana!!! maana alivyokuwa enzi zile mie namuosha nywele zake saloon ya papaa sinza kijiweni ndivyo alivyo hivi sasa jamani anakula nini mbona hachuji. mpe hi nimefurahi kuwaona watoto wake, sema nimemmiss Phares kama sikosei mtoto wake wa kiume atakuwa mkubwa sasa. big up!!!

  ReplyDelete
 3. shughuli nzuri sana watu wamependeza sana madira ya upambe kila mtu very cute, hongera zao kwa sana

  ReplyDelete
 4. sina cha kusema picha zajionyesha cha muhimu bi harusi ukaishi kwa amani ktk ndoa yako, jamani da hellen kuna mama mi nampenda sana anaonekana ana roho nzuri na pia ana macho mazuri anaitwa fatuma shisha sijui nimepatia mara ya kwanza kumuona hukuhuku bloguni kwenye shughuli ya mwanae( mama uishi maisha marefu) hope nikija ntakuja onja chakula cha anko yahya. haya
  beatrice
  norway

  ReplyDelete
 5. Yes,shughuli nzuri sana inakuwa inafanana na Shughuli za huku kwetu Zanzibar, cjajua kama mko kama huku. Kwa kweli ni nzuri sana tangu mavazi, vyakula na watu wote.

  Mwisho namtakia kila la kheri Bi Harus aende kuishi kwa salama na upendo tena vitu na mawaidha akayafanyie kazi.

  Tchao!!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hee unashangaza kwani Zanzibar ndio kiwango chako cha kupimia ubora sherehe? Umechelewa basi..................fungua macho uone na masikio usikie.....!!!!

   Delete
 6. Very nice shughuli wapendwa inaonekana ilikuwa well organized....Mungu akubariki katika ndoa yako dada.

  ReplyDelete
 7. Mijizawaaaaaaadi balaaaa kweli mlijipanga hongereni sana

  ReplyDelete
 8. colourful wedding, congratulations

  ReplyDelete
 9. Umaridadi ndiyo huu,vivazi vya ustaraabu wa mwambao nahisi ukumbi wote ulinukia udi....hii ni funga mwaka shughuli pambe!

  ReplyDelete
 10. namuona sichana mamaaa wa sweden,

  ReplyDelete