AQDI YA MISUKA SWETU FUNDIKIRA

Aqdi ya Misuka,...dumbukia ndani kuona zaidi
NYUSO

ChakulaUkitaka mpiga picha wa picha kama hizi kwenye shughuli yako yoyote ile tafadhali wasiliana na +255 758 266 701

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

7 comments:

 1. Mashaalwah wamependeza.watazaa watoto wazuri. wamenivutia mhhhh ningekua bongo ningejitahidi niunge ukoo. wanaume wana rangi nzuri,wanawake Mashaalwah ,rangi tabasamu mavaz,make up mashaalwah . Mola ampe ndoa njema na yenye furaha na kizazi chema . Namuona na Wifi landu Mke wa Janja mashaalwah anazid kunona


  Bibi from Sweden

  ReplyDelete
 2. Mashallah maharusi mmependeza sana. Hongereni sana M'Mungu awajalie baraka,upendo na amani katika maisha haya mliyoyaanza.


  @wifi karibu katika familia

  ReplyDelete
 3. Pendeza sana .....kila heri katika ndoa yenu.

  ReplyDelete
 4. mashallah make up imewatulia harusi nzuri na wote wamependeza

  ReplyDelete
 5. Mashaallah, maharusi mmependeza sana Allah azidi kuwa nanyi katika kufuata QUR-AN na SUNNAH

  ReplyDelete
 6. mashallah maharusi wamependeza sana, hivi huyu biharusi ni mtoto wa marehemu swetu fundikira alieuawa na polisi?

  ReplyDelete
 7. hatimae Hud aoa, jamani watoto wakike mmeonaeee hiyo muache kumfatafata hb wamujini tena keshaoa tena mtoto mzuriii! Mungu awatangulie katika maisha yenu ya ndoa.

  ReplyDelete