Sponsor

06-DEC-2011, NI SIKU YA KWANZA YA SFWD 2012, BE THE FIRST KUONA PICHA ZA RED CARPET!!!

11:36:00 PM

 Wadau wa tasnia ya fashion jana walijotokeza katika hotel ya Golden Tulip katika SWFD, nakuletea red carpet ya fashionistaz waliojitokeza, hapa ndio sehemu ya kujishebedua na vazi lako couple zatia fora zama ndani kuona zaidi.


hapana chezea totoz za Dar, mko juu
Mama ya mitindo Asyia Khamsin mdau wa SFWD


I'm sure wamekuja kumsupport Gabriel Mollel "SAIRAMU COLLECTION"
LUCA
Nancy & LucaAsyia Khmasin, Ailinda Sawe Afrika Sana
Gabriel Molel & Ailinda Sawe
yes hata wewe pia!!
VITUPIO!!
Stay tuned for more from SWFD pictures!!!

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.